Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%
Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT""
Ila nakumbuka mwaka 2018 kwenye sherehe za Mei mosi akiwa Iringa alihadi ongezeko kuu kabla ya yeye kuondoka. Alisema yeye hatoongeza visenti ila kwenye muda wake ataweka mzigo mkubwa hasaa.
Sasa huu si ndio mwaka wa uchaguzi ambao unaweza kutafsiriwa kama ni mwaka wake wa mwisho?
KWANI HAZITAKI KURA ZA WATUMISHI WA UMMA?
#YNWA