Watumishi wa Umma, Rais Magufuli kawasahau tena?

Watumishi wa Umma, Rais Magufuli kawasahau tena?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mshkaji umenichekesha sana.
Twende tukavune mapaachichi tuwaache na mambo yao
Mi ni mfanyakazi wa TRA acha kuniharibia.
Mi sio muuza parachichi ni mkusanya mapato

#YNWA
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ongezeko la Mishahara ni asilimia 2.7 na sio pungufu kama unavyosema
IMG-20200612-WA0011.jpg
 
Ongezeko la Mishahara ni asilimia 2.7 na sio pungufu kama unavyosemaView attachment 1476047
Sijasema kushushwa kwa kodi ya PAYE nimesemea BASIC SALARY.
Ambayo inamtofautisha kati ya TGSC1 na TGSC2.

Hiyo kodi inahusu wafanyakazi wotee wa nchi (private + government).

Mi nasemea ile increment ya kuwapa watoto wake (watumishi wa umma) ambayo kikwete Mara ya mwisho alitoa 80,000 kwa kima cha chini na huku akashusha PAYE kutoka 13% mpaka 11%.

SWALI:-
ILE HAKI YA MTUMISHI WA UMMA "" ANNUAL INCREMENT"" AMBAYO IPO KISHERIA...
IKO WAPI?

#YNWA
 
  • Thanks
Reactions: amu
Sijasema kushushwa kwa kodi ya PAYE nimesemea BASIC SALARY.
Ambayo inamtofautisha kati ya TGSC1 na TGSC2.

Hiyo kodi inahusu wafanyakazi wotee wa nchi (private + government).

Mi nasemea ile increment ya kuwapa watoto wake (watumishi wa umma) ambayo kikwete Mara ya mwisho alitoa 80,000 kwa kima cha chini na huku akashusha PAYE kutoka 13% mpaka 11%.

#YNWA
[emoji120]
 
Mkuu Mimi nafirikiri kupunguzwa kwa Kodi ya mishahara kwa watumishi inaweza kusaidia hata mishahara isipoongezwa au uelewa wangu ni Mdogo hapo.

Mfano
Unamaanisha wamepunguza kodi? Hapo awali walikuwa wanakata 30% ya kiasi kinachoongezeka kwenye mshahara unaozidi 750,000/=. Kwa maelezo yako haya, unamaanisha sasa hivi watakuwa wanakata 20% kwa kiasi kinachozidi million moja na si 30% kwa kiasi kinachozidi 750,000/=? Nimejaribu kutafuta pdf version ya budget sijaipata!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kuliko kuongezewa elf 10 bora zikusanywe zikafanye jambo kubwa kwa maslah ya Nchi

Namuelewa sana Mzalendo namba moja wa Taifa
 
Watumishi hawana madhara kwenye kura.Wasubirie tu ajae labda atawaongeza.
Waendelee tu kuomba wasianze kukopwa hata salary.
 
Kuliko kuongezewa elf 10 bora zikusanywe zikafanye jambo kubwa kwa maslah ya Nchi

Namuelewa sana Mzalendo namba moja wa Taifa
Za kuongeza hazipo,
Za kulipa wakulima korosho hazipo
Za kuwashughulikia wapinzani zipo
Za kujenga Chato zipo
Za kujenga majengo ili yabakie kumbukukumbu zipo
 
Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%

Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"
Tulieni Makomredi mmedanganywa kwa hila.
 
Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%

Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"
Acha ayatandike maana na yenyewe hayajielewi katu! kuna magroup ya wafanyakazi ya whatsapp ni kinyaa
 
Kuliko kuongezewa elf 10 bora zikusanywe zikafanye jambo kubwa kwa maslah ya Nchi

Namuelewa sana Mzalendo namba moja wa Taifa
Hili jambo halihitaji akili kubwaa kulielewa.
Bro Annual increment IPO kisheria na ilipitishwa na Bunge.
Mbona ye halipi.
1. Yupo juu ya bunge?
2. Ana mamlaka gani ya kuingilia maamuzi ya bunge?

#YNWA
 
Back
Top Bottom