Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
Watumishi ni Laki 5 kwa ujumla...jumla ya wapiga kura ni zaidi ya million 20 nahc anaona hata msipompa kura zenu wakulima na wengine waliobak watampa[emoji848]
Ni pesa..!!!Hii ni siasa mkuu
Duh CCM wanaakili Sanaa..Watumishi ni Laki 5 kwa ujumla...jumla ya wapiga kura ni zaidi ya million 20 nahc anaona hata msipompa kura zenu wakulima na wengine waliobak watampa[emoji848]
Ataongeza 2024 ili amuachie mwenzie msala?
Kwani wanaohonga mademu wa MMU si watumishi wa umma...Mkuu umevurugwa utumishi wa uma na MMU vinahusianaje?
Au umenyimwa unyumba [emoji4]
Kuna muda tunalazimika kulipa madeni hata ambayo hatujakopa mkuu. The same hata kwa utawala. Mimi Kuna Deni nililipa while sikukopa Sijui Kama nitasahau kwa kweli.Akiongeza 2024 atakua ni MCHAWI! anamwachia zigo la mishahara mikubwa mrithi wake ili ashindwe kufanya miradi ya maendeleo. Ni uzandiki wa hali ya juu.
Wapinzani wenyewe wanapinga kila kituu...Mjiulize kama anafanya haya upinzani ukiwepo,usiopokuwepo itakuwaje?
duh HAPA KAZI TU...Kwan 2034 imefika mkuu tuwe wavumilivu bado miaka 14 atapandisha tu
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mshkaji umenichekesha sana.Kwani wanaohonga mademu wa MMU si watumishi wa umma...
Mtumishi akiwa na hali mbaya michepuko lazima iwe taabani..!!
#YNWA
Sijasema kushushwa kwa kodi ya PAYE nimesemea BASIC SALARY.Mkuu Mimi nafirikiri kupunguzwa kwa Kodi ya mishahara kwa watumishi inaweza kusaidia hata mishahara isipoongezwa au uelewa wangu ni Mdogo hapo.
Mfano...