Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
-
- #21
Pole Sanaaa...Kuna muda tunalazimika kulipa madeni hata ambayo hatujakopa mkuu. The same hata kwa utawala. Mimi Kuna Deni nililipa while sikukopa Sijui Kama nitasahau kwa kweli.
Mi ni mfanyakazi wa TRA acha kuniharibia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila mshkaji umenichekesha sana.
Twende tukavune mapaachichi tuwaache na mambo yao
Sijasema kushushwa kwa kodi ya PAYE nimesemea BASIC SALARY.Ongezeko la Mishahara ni asilimia 2.7 na sio pungufu kama unavyosemaView attachment 1476047
[emoji1649][emoji1649] Maparachichi ninayo mimi kwani huwezi kunisaidia kuvuna?Mi ni mfanyakazi wa TRA acha kuniharibia.
Mi sio muuza parachichi ni mkusanya mapato
#YNWA
[emoji120]Sijasema kushushwa kwa kodi ya PAYE nimesemea BASIC SALARY.
Ambayo inamtofautisha kati ya TGSC1 na TGSC2.
Hiyo kodi inahusu wafanyakazi wotee wa nchi (private + government).
Mi nasemea ile increment ya kuwapa watoto wake (watumishi wa umma) ambayo kikwete Mara ya mwisho alitoa 80,000 kwa kima cha chini na huku akashusha PAYE kutoka 13% mpaka 11%.
#YNWA
Unamaanisha wamepunguza kodi? Hapo awali walikuwa wanakata 30% ya kiasi kinachoongezeka kwenye mshahara unaozidi 750,000/=. Kwa maelezo yako haya, unamaanisha sasa hivi watakuwa wanakata 20% kwa kiasi kinachozidi million moja na si 30% kwa kiasi kinachozidi 750,000/=? Nimejaribu kutafuta pdf version ya budget sijaipata!Mkuu Mimi nafirikiri kupunguzwa kwa Kodi ya mishahara kwa watumishi inaweza kusaidia hata mishahara isipoongezwa au uelewa wangu ni Mdogo hapo.
Mfano
Mbunge kessy sio mjinga
Za kuongeza hazipo,Kuliko kuongezewa elf 10 bora zikusanywe zikafanye jambo kubwa kwa maslah ya Nchi
Namuelewa sana Mzalendo namba moja wa Taifa
Apate wapi za kuongezaAkiongeza 2024 atakua ni MCHAWI! anamwachia zigo la mishahara mikubwa mrithi wake ili ashindwe kufanya miradi ya maendeleo. Ni uzandiki wa hali ya juu.
Thus wanataka Kinga ili watushugulikie kabisa hata kwa kumzidi Nkurunziza kwa kutupiga xMjiulize kama anafanya haya upinzani ukiwepo,usiopokuwepo itakuwaje?
Kwani mda wake unaisha 2024?Maybe itakua 2024
Tulieni Makomredi mmedanganywa kwa hila.Kutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%
Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"
Acha ayatandike maana na yenyewe hayajielewi katu! kuna magroup ya wafanyakazi ya whatsapp ni kinyaaKutoka kwenye hotuba ya bajeti kurasa ya 160...
• Bajeti kwa ujumla wake imeongezeka kwa Tril. 1 na point
• Bajeti ya matumizi ya mshahara imepungua kwa asilimia 1%.. Kutoka 23% mpaka 22%
Hii ina maanisha HAKUNA ONGEZEKO hata lile LA kisheria ""ANNUAL INCREMENT"
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa.Inatakiwa kumshtua shtua kidogo maisha magumu sana
Hili jambo halihitaji akili kubwaa kulielewa.Kuliko kuongezewa elf 10 bora zikusanywe zikafanye jambo kubwa kwa maslah ya Nchi
Namuelewa sana Mzalendo namba moja wa Taifa