Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Morning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma.
Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari kuishi maisha magumu baada ya kustaafu🤣🤣🤣🤣
Hiki kikokotoo kinaleta maisha mazuri kwa wastaafu, kimeshaanza kufanya kazi hebu tembeleeni wastaafu walionza kupata neema ya kikokotoo muone upendo wa serikali.
Tembeleeni pia wastaafu (wanasiasa) ambao hawajaguswa na neema hii ya kikokotoo muone wanavyohangahika na ugumu wa maisha.
😂😂😂😂