Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nywanoko ubeMorning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma. Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari kuishi maisha magumu baada ya kustaafu.
Hichi kikokotoo kinaleta maisha mazuri kwa wastaafu, kimeshaanza kufanya kazi hebu tembeleeni wastaafu walionza kupata neema ya kikokotoo muone upendo wa serikali.
Tembeleeni pia wastaafu (wanasiasa) ambao hawajaguswa na neema hii ya kikokotoo muone wanavyohangahika na ugumu wa maisha
Nywanina ubeMorning!

Hivi wewe una akili timamu kweli
🤣🤣🤣🤣Nywanoko ube
Nywanina ube
,😄😄😄😄😃😃😃😃😃😃Nywanoko ube
Nywanina ube
Nywanoko ube
Nywanina ube
Another wasted spermTembeleeni pia wastaafu (wanasiasa) ambao hawajaguswa na neema hii ya kikokotoo muone wanavyohangahika na ugumu wa maisha.
Ahahahah 😂😂😂Another wasted sperm
Kabisa mkuu, yani wale wasioguswa na kikokotoo wakimaliza ajira zao wanakuwa na maisha amgumu sana. Tazama wabunge wastaafu wana maisha magumu kuliko wale walimu wastaafu. Naunga mkono hoja huu ni upendo wa kiwango cha juuMorning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma.
Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari kuishi maisha magumu baada ya kustaafu🤣🤣🤣🤣
Hiki kikokotoo kinaleta maisha mazuri kwa wastaafu, kimeshaanza kufanya kazi hebu tembeleeni wastaafu walionza kupata neema ya kikokotoo muone upendo wa serikali.
Tembeleeni pia wastaafu (wanasiasa) ambao hawajaguswa na neema hii ya kikokotoo muone wanavyohangahika na ugumu wa maisha.
😂😂😂😂
Wabunge wastaafu wana maisha magumu sana. Huenda kikokotoo kingewaokoa kama serikali ingewajali kama watumishi wengineKabisa mkuu, yani wale wasioguswa na kikokotoo wakimaliza ajira zao wanakuwa na maisha amgumu sana. Tazama wabunge wastaafu wana maisha magumu kuliko wale walimu wastaafu. Naunga mkono hoja huu ni upendo wa kiwango cha juu
Hata haiwapendi ,kama ingekuwa inawapenda hilo ongezeko la mshahara kwa wabunge lingeelekezwa kwenye ujenzi wa miundo mbinu muhimu zinazo wasaidia wafanye kazi vizuriKwa kweli serikali inawapenda ssna watumishi wa umma.Hata mwaka huu wasipopanda madaraja,wajue kuwa serikali 8nahangaika usiku na mchana.
Achilia mbali wale ambao wana madainya likizo na uhamisho ya miaka na miaka katika halmashauri.Pamoja na kwamba kila mwaka.bunheni serikali 8nasema imetemga bajeti za kuwalipa nanhaiwalipi,watambue tu kuwa serikali ninsikivu mno kuliko wanavyodhani.
Huyu ametumia fasihi kubwa mie nimemuelewaHivi wewe una akili timamu kweli 🤔 inabidi machizi wa mirembe wakatazwe kushika simu
Ni kweli kuna mzee amefanikiwa kununua boda boda mbili,baada ya kustaafu kitu ambacho zamani ilikuwa haiwezekani.Morning!
Serikali inatupenda sana watumishi wa umma. Hebu vuta picha ni upendo kiasi gani serikali imefanya kwa watumishi wa umma.
Ninaposema Serikali, namaanisha viongozi wakuu kuanzia Rais, mawaziri mpaka wabunge wamekubali hii neema ya kikokotoo iwe kwetu watumishi huku wao wako tayari kuishi maisha magumu baada ya kustaafu🤣🤣🤣🤣
Hiki kikokotoo kinaleta maisha mazuri kwa wastaafu, kimeshaanza kufanya kazi hebu tembeleeni wastaafu walionza kupata neema ya kikokotoo muone upendo wa serikali.
Tembeleeni pia wastaafu (wanasiasa) ambao hawajaguswa na neema hii ya kikokotoo muone wanavyohangahika na ugumu wa maisha.
😂😂😂😂
Ehehhehe 😂😂😂😂Ni kweli kuna mzee amefanikiwa kununua boda boda mbili,baada ya kustaafu kitu ambacho zamani ilikuwa haiwezekani.
Wao, naipenda sana serikali yetu.Morning!