Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma tuiondoe CCM madarakani

Jiwe kapanda na kupandikiza watu wake. Jiwe mwoga sana huyu mtu sijapata kuona. Kama mumeliona hilo hongereni watumishi.

Sisi wakulima tulishafanya maamuzi ya kumuondoa huyu mharibifu wa masoko ya mazao yetu
Same kwa wafanyabiashara tulishaamua mapema sana kumuondoa Huyu nyoka wa kijani na kundi lake.
 
Hakuna watumishi wenye dhiki nchi hiii kama polisi na wa TBC
 
October uhalisia utaonekana
 
Siomuda wa watumishi waumma pekeyao nasisi wavuvi wakati nihuu kuipiga ccm tumedhulumiwa kwa dhanahalali kwakisingizio chakuziita haram tuwatoe watuhawa wasiojua fadhila ccm out
 
Wale wabunge sitini na ushee waliokatwa haraka wajiunge na wapokelewe chadema waache woga! Membe naye amuunge Lissu!
watumishi wa serikali wamesiginwa sana hawapaswi kukubali kuchagua manyanyaso na uonevu usiokifani labda kama watumishi hawajielewi na hawajui hakizao,tizama haya kwa uchache uniambie taifa gani lawatu wasiowaoga na wasiokubali kuchezewa chezewa watakubali yote haya na mengine mengi
1. Hakuna nyongeza ya mishahara miaka mitano.
2. Hakuna hata viincrement miaka mitano
3. Hakuna ajira miaka mitano
4. Kujiendeleza kielimu imekuwa ngumu mno
5. Hakuna semina,workshop zakujinoa kikazi
6. Bodi ya mikopo heslb inawakata kuzidi hata makubaliano
7. Kutishiwa kazini navijikamati vyasiasa,sanyingine kugombezwa kama watoto.
8. Vyama vyao uongozi kutekwa nahivyo kushindwa kutetea watumishi.
9. Madaraja kutotolewa ipasavyo na kwawakati namiaka yakupanda kuongezwa mpaka minne
10. Kikokotoo cha pensheni kuhatarisha mustakabali wanapostaafu, malimbikizi ya pensheni, fao la uzazi kutolipwa miaka kadhaa nk. nk.
Ukweli nikuwa miaka mingine itaporomosha kabisa maisha ya watumishi haswa wale wachini... Remunarations zao ndio zitatumika kujengajenga nakumpatia sifa mtu mmoja!
 
Yaaninikifikiria kiasi ninachodaiwa na Heslb na haya makato dah!!😭😱
Five years no annual increment, walaaahi kura yangu na ndugu zangu zitaenda sehemu sahihi uchaguzi huu
 
Tupo laki tano nukta 5 ongeza wategemezi laki 5 tunapata 1 milioni point 5 ongeza vijana jobless mitaani kama million 1.5 tunapata 3 kura hizi zikitua kwa CHADEMA ccm mtanyooka tu mwaka huu

Na bado hatujafanya manuva kama maafisa wa Tume

Hao laki tano wapo walioteuliwa, wenye, vyeo wana CCM pia. Unategemea mteuliwa au mwenye cheo chake ataupigia upinzani?

Unaota.
 
Hii ni roho mbaya haijawahi tokea hapa nchini.
 
Wakuu wa idara mpaka maafisa wana posho per month bado unataka na hiyo waikose sahau kwa watumishi wa umma unajisumbua walishatekwa hawana mdomo tena bora uamasishe sie wauza michicha mtaani
 

Bado waliotumbuliwa pamoja na family zao,kazi ipo mwaka huu hata akishinda itakua si kwa kiwango hiiicho wanachotarajia
 
🤣🤣🤣
 

 
Kwa waliotendewa watumishi kwa miaka mitano na utawala huu , mtumishi atayeipigia kura CCM atakuwa mgonjwa wa akili.
 
Tunaunga hija mkono CCM hawapati kura zetu sisi watumishi wa umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…