cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Aaah wapi!Tupo zaidi ya laki5 na wengi wetu tunasema John Pombe Magufuli bado anatufaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah wapi!Tupo zaidi ya laki5 na wengi wetu tunasema John Pombe Magufuli bado anatufaa
Umasikini ni mipango ya Mungu ama nawezasema umasikini upo kwenye roho ya mtu.ccm sio machinga sio nani nyie sera zenu kutufanya masiki ili uwe mtaji wenu kisiasa makundi yote tumestuka jiandae kuachia lissu ikulu mlifiki lissu awatania kurudi nyumba mkazidisha ukandamizaji sasa kaisha fika Disco kaingia masai
Wao wanajua mzizi wa fitina ulipo wewe si wakuwaekekezaVyama wa wafanyakazi Kama vile targwa na cwt Kazi yao kubwa ni Nini?
Anzeni na hao Kwanza kwani wanakula pesa za mishahara yenu bure hakuna kazi wanafanya.
Pesa ilizolalia serikali ni zile za upigaji na zawizi.Watanunuaje wakati hamna circulation of money,hela zote serikali imezilalia
Mwenye nchi nani? huyo akipita kwenye target, single bullet anaondoka bila keleleMwenye nchi alishawaambia wafanyakazi kuwa kama mnaona mishahara midogo nendeni mkalime kwani yapo mapori mengi sana Tanzania.
Kushinda uchaguzi kunahitaji mipango yenye uhalisia na sio ndoto za Alinacha. Na ndio maana rahisi kupiga mayowe ya kuwa kura zimeibwa. Angalia kiulaini kabisa kura zote za watumishi na familia zao umesombea kwako kwa nguvu na umeamini uko sahihi.Tupo laki tano nukta 5 ongeza wategemezi laki 5 tunapata 1 milioni point 5 ongeza vijana jobless mitaani kama million 1.5 tunapata 3 kura hizi zikitua kwa CHADEMA ccm mtanyooka tu mwaka huu
Na bado hatujafanya manuva kama maafisa wa Tume
Wanalalamika ambao wameanzia TGHS -E mwaka 2008, unalinganisha na askari polisi anayepata mshahara wa 400,000/=? Hao hawajitambui tu, hivi wangekuwa na hela si wangeweza kupanga hata nyumba za 60,000/= lakini nazo zimewashinda wanakaa nyumba kama banda la kuku huku vyoo vikiwa vimajaa. Vyumba vyenyewe mtu mnene hageuki tapu tupu.Mkuu Magacha, una hoja ya msingi lkn ila madai yenu watumishi umma ni sawa kabisa na kushindikana kwa ujenzi wa mnara wa Babeli. Wakati baadhi yenu mkiwa na hisia chanya juu ya uonevu mnaotendewa, yaani mnazungumza lugha moja.
Miongoni mwenu wapo wenye kuzungumza lugha iliyokuwa tofauti na nyinyi ijapokuwa wote mnapigika. Ebu waangalie watumishi kama vile wa TBC, polisi na wanasiasa wengine wenye ajira serikalini, hao kwa namna yoyote ile hawawezi kusikilizana na lugha yenu yenye kila namna ya mantiki na ukweli uliokuwa wazi.
Kodi gani? acheni utani na maisha ya watuUmesahau kama tulipunguziwa kodi? Au mnajifanya hamnazo?
Tangu mwaka 2000 nilipokuwa na uwezo wa kupiga kura kisheria. SIJAWAHI KUIPIGIA KURA CCM na nguo za kijani sijawahi kuvaa na mikutano yao sijawahi kuhudhuria.Mimi kama mtumishi wa umma najuta kumpa kura huyo mgombea wa ccm
Mwaka huu hakuna kuwasaidia ccm kuchakachua kura halali za wananchi. Wajifunze kusimama wao kama wao.Tangu mwaka 2000 nilipokuwa na uwezo wa kupiga kura kisheria. SIJAWAHI KUIPIGIA KURA CCM na nguo za kijani sijawahi kuvaa na mikutano yao sijawahi kuhudhuria.
Punguza uzwazwa na ulimbukeni.Kama wewe hujapata increment ni kwa sababu ya ku underperform kwako. Sisi tulipata na tukapandishwa madaraja kwa sababu ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Pambana na hali yako.
Kwani umelazimishwa?Tangu mwaka 2000 nilipokuwa na uwezo wa kupiga kura kisheria. SIJAWAHI KUIPIGIA KURA CCM na nguo za kijani sijawahi kuvaa na mikutano yao sijawahi kuhudhuria.
Huu Uzi maalumu kwa ajili ya watumishi wa umma wenye salary slip na check no ambao kwa miaka 5 tumedhulumiwa haki yetu
Serikali ya ccm haina muda na watumishi, increments kwa watumishi zimetupiliwa mbali
Watumishi tumejikuta tunafanya kazi nyingi na ngumu kisa serikali haijiri,hili linawakumba walimu na kada ya afya
Nyongeza ya mishahara ndo hivyo tena, wastaafu kupata mafao yao mpaka mungu ashuke.
Madaraja kupanda ilikuwa miaka 3 ila sasa imepelekwa hadi miaka 4, ambapo sisi watumishi tunajua daraja ndo mshahara,sasa kama madaraja hayapandi mbona mishahara yetu ina hali ngumu,na pamoja kuongeza miaka ya kupanda daraja, ukifika hata hawapandishi tena wale ambao wangepanda mwaka huu ndo hivyo tena.
Ukienda masomoni tena inakuwa dhambi kubwa ya kujiendeleza,ccm hawataki watumishi wajiendeleze ndo maana waliokuwa masomoni hawakupandishwa madaraja
Vyama vya wafanyakazi hawana sauti, hawafurukuti.
Pamoja na matatizo mengi tuliyonayo bado serikali imeshindwa kutuweka mazingira mazuri kwa wafanyakazi
Tukiwa kama wapiga kura na wengine watakuwa wasimamizi na tukiwa na hazina ya wanaotutegemea huko nyuma kura zetu zinatosha kuonyesha serikali hii kuwa hatuitaki.
Kwa wale ambao watasimamia uchaguzi kwa niaba ya Tume lazima tuje kufanya yetu.
Watumishi wa umma njoo tuiondoe serikali hii madarakani.
Kila la kheriHuu Uzi maalumu kwa ajili ya watumishi wa umma wenye salary slip na check no ambao kwa miaka 5 tumedhulumiwa haki yetu
Serikali ya ccm haina muda na watumishi, increments kwa watumishi zimetupiliwa mbali
Watumishi tumejikuta tunafanya kazi nyingi na ngumu kisa serikali haijiri,hili linawakumba walimu na kada ya afya
Nyongeza ya mishahara ndo hivyo tena, wastaafu kupata mafao yao mpaka mungu ashuke.
Madaraja kupanda ilikuwa miaka 3 ila sasa imepelekwa hadi miaka 4, ambapo sisi watumishi tunajua daraja ndo mshahara,sasa kama madaraja hayapandi mbona mishahara yetu ina hali ngumu,na pamoja kuongeza miaka ya kupanda daraja, ukifika hata hawapandishi tena wale ambao wangepanda mwaka huu ndo hivyo tena.
Ukienda masomoni tena inakuwa dhambi kubwa ya kujiendeleza,ccm hawataki watumishi wajiendeleze ndo maana waliokuwa masomoni hawakupandishwa madaraja
Vyama vya wafanyakazi hawana sauti, hawafurukuti.
Pamoja na matatizo mengi tuliyonayo bado serikali imeshindwa kutuweka mazingira mazuri kwa wafanyakazi
Tukiwa kama wapiga kura na wengine watakuwa wasimamizi na tukiwa na hazina ya wanaotutegemea huko nyuma kura zetu zinatosha kuonyesha serikali hii kuwa hatuitaki.
Kwa wale ambao watasimamia uchaguzi kwa niaba ya Tume lazima tuje kufanya yetu.
Watumishi wa umma njoo tuiondoe serikali hii madarakani.
Labda unafanyia serikali ya msumbiji mwenzetuKama wewe hujapata increment ni kwa sababu ya ku underperform kwako. Sisi tulipata na tukapandishwa madaraja kwa sababu ya kufanya kazi kwa juhudi na maarifa. Pambana na hali yako.