M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 2,268 Reaction score 7,119 Dec 30, 2025 #1 Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
Jiandae kuwa mjasiria mapema kabla ya kustaafu. Manyanyaso na majungu ya watumishi wenzako iwe chachu ya wewe kujiandaa kustaafu ili uweze kuwa huru. Sina la nyongeza. Ila Walimu zingatieni huu ujumbe.
I iMind Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 3,224 Reaction score 5,514 Dec 30, 2025 #2 Unajiamdaaje ku staafu?