Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 14, 2020 Thread starter #21 secret file said: Wamefika namba jokeri..... Click to expand... Ni namba ipi hiyo!
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 14, 2020 Thread starter #22 Jidu La Mabambasi said: Wafanyabiashara je? Click to expand... Hao walishaisoma vya kutosha.
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 14, 2020 Thread starter #23 Enzi na Enzi said: Weka hapa hyo barua, acha kuburuza watu , hakuna kitu km hicho. Click to expand... Kaa kwa kutulia, usishangae kitu hakisomi tena mwezi huu!
Enzi na Enzi said: Weka hapa hyo barua, acha kuburuza watu , hakuna kitu km hicho. Click to expand... Kaa kwa kutulia, usishangae kitu hakisomi tena mwezi huu!
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Aug 14, 2020 Thread starter #24 Ziltan said: stori tu hizo. mishahara mbona tumechukua na tutaendelea kuchukua. danganya wajinga Click to expand... Ni vizuri kujitekenya, ombea mdeni wako asikuchoke tu!
Ziltan said: stori tu hizo. mishahara mbona tumechukua na tutaendelea kuchukua. danganya wajinga Click to expand... Ni vizuri kujitekenya, ombea mdeni wako asikuchoke tu!
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Aug 14, 2020 #25 Muendelee kulipa kodi TRA Jidu La Mabambasi said: Wafanyabiashara je? Click to expand...