View attachment 1513651Hili tangazo nimelion lkn tamko halijaka kiserikali kabisa.
Majini naye Prof kwenye kitengo chake.Tembelea mbao za matangazo Udsm na chuo cha Mwl Nyerere kivukoni ujiridhishe kama huamini
Prof mzima unazidiwa kura na Sharif majini! Huu ni udhalilishaji wa vyuo vyetu