Sasa kwanini wasiwaombe hao makatibu wa vyama vya siasa ( mainly CCM) majina ya watumishi waliojaza fomu hizo?Mbona hata wakija JF wataona hata waliopata kura 0 (sifuri). Aidha makatibu wamikoa wa CCM wataonesha hata kura za watiania
Kutoka kwa Wanafiki....watajulikana tuHayo majina watayapata wapi? Kuna wale ambao hawakuomba ruhusa hayo majina watayapataje?
Inaonesha hujawahi kuwa kiongozi! Ni kosa kutotoa taarifa kwa mwajiri wako na ni waraka ameutoa mamad wa mwaka 2015Sasa kwanini wasiwaombe hao makatibu wa vyama vya siasa ( mainly CCM) majina ya watumishi waliojaza fomu hizo?
Kumbuka100% ya watumishi walienda kujaza fomu za CCM
Nisaidie mbinu watakayoitumia kuwapata hao watumishi bila kuwaonea
Keshokutwa Ada za WatotoMagufuli kaamua kufuata sheria!!!lakni ni Wenda wazimu unaomba ruhusa ya wiki moja na unajisemelea kuwa unaenda kutia nia!!!
kule kwetu RUNGWE MBEYA kuna Afisa alienda kutia nia kwao Mbinga,hili tamko nadhani limemtoa kijasho!!
Jamani taratibu zinamruhusu kutia nia na atatakiwa kujiuzuru (kwa walio katika nafasi za kuteuliwa - kama sikosei)/kuomba likizo ya bila malipo (kwa watumishi kama walimu) pale atakapopita kwenye kura za maoni.Simliambiwa mkitaka kugombea acheni kazi .......though naona kuna vijana kama mkurugenzi wa dodoma hawajasimamishwa kazi
Naam, huu ndio utaratibu. Kimbembe kwa waliotoroka, ila kwa waliiomba ruhusa bila malipo wao hawana tatizo, wanayo nafasi, hawana tatizoUtaratibu kama ni mtumishi wa Umma unatakiwa uombe likizo bila malipo kama mwezi mmoja then ukipata kibali unakwenda jimboni....lakini wengine waliondoka kinyemela ...ukiondolewa kwenye payroll ya serikali kuja kurudishwa ni mziki mnene
Hapana, utaratibu ni kuwa unaomba likizo bila malipo wakati wa mchakato wa kutaka kuteuliwa katika chama na once ukipitishwa na chama unafutwa kwenye utumishi moja kwa moja. Soma waraka wa mkuu wa utumishi wa ummaJam
Jamani taratibu zinamruhusu kutia nia na atatakiwa kujiuzuru (kwa walio katika nafasi za kuteuliwa - kama sikosei)/kuomba likizo ya bila malipo (kwa watumishi kama walimu) pale atakapopita kwenye kura za maoni.
Waliomba likizo bila malipo kwa mujibu wa kanuni za utumishi, mtumishi wa serikali haruhusiwi kufanya shughuri za kisiasa na kazi aliyoajiriwa.Zipo taarifa za kuzuia mishahara ya watumishi waliogombea nafasi mbalimbali katika mwezi huu wa Julai, aliyetoa ushauri huu ana nia ya kutaka kumuharibia Rais Magufuli 2020, Oktoba 28.
Rais Magufuli nikuombe uingilie kati hili, si jambo la afya na ukingazatia watia nia hao wataombwa kwenda kusaidia kuweka umoja katika majimbo waliogombea, nani atakubali kwenda kusaidia chama wakati mshahara wake ulikatwa...
Mkuu take it from me.... nyepesi nyepesa nilizopata ni kwamba haijalishi umetoboa au umechemka, unafutwaNafikiri hao ni watakao fuzu kura za maoni..
Wegi wamesharejea makazini.
Ahsante mkuu.. Umenielimisha.Hapana, utaratibu ni kuwa unaomba likizo bila malipo wakati wa mchakato wa kutaka kuteuliwa katika chama na once ukipitishwa na chama unafutwa kwenye utumishi moja kwa moja. Soma waraka wa mkuu wa utumishi wa umma
Na pia kurudi kazini hakuna kurudi automatically bali unaandika tena barua ya kuomba kurejeshwa kazini. Ukijibiwa kwa barua kwa kukubaliwa ndio unaendelea, usipojibiwa a utatakiwa kungoja majibu ukiwa nje ya utumishi wa umma.Ahsante mkuu.. Umenielimisha.
Ushahidi upi watakaoutumia kutoka kwa hao wanafiki?Kutoka kwa Wanafiki....watajulikana tu
Database yote ya watia NIA wa Vyama possibly CCM (kwa kuwa hakuna Mtumishi wa Umma mwenye Uthubutu wa Kugombea Upinzani) iko IKULU baada ya CCM Wilaya kupeleka Mkoani na Mkoani kupeleka MAKAO MAKUUSina shaka na huo waraka au hiyo Sheria ya uchaguzi.
Hoja yangu ni: WATATUMIA MBINU GANI KUJUWA HUYU ALICHUKUA FOMU, AKAJAZA NA AKARUDISHA?
Ni hilo tu
Hujanielewa, mtu kuona kachukuwa fomu na kujaza si mpaka upewe ushahidi wa hizo nyaraka?Kwani kuna siri ukitia nia?
Sheria na kanuni za utumishi siyo binaadamu ndiyo sababu hazina ubinaadamu.Kibinadamu sio sawa kabisa, kisheria ni sawa kwa kuwa anayelipwa ni yule aliyefanya Kazi,.
Sasa kama karibu mwezi huu wote mtumishi alikuwa kwenye kampeni atalipwa vipi.?