peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kama cc
Mbali ya usomi wao lakini zaidi ni kumshinda Waziri mstaafu wa siku nyingi na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo William Ngeleja
Hamis Tabasamu mwaka 2015 aligombea ubunge wa Sengerema kwa tiketi ya CHADEMA na kushindwa kumg'oa Ngeleja. Mwaka 2017 Tabasamu alihama CHADEMA na kwenda kuunga juhudi za Mheshimiwa John Magufuli kwa kile alichoita amechoshwa na upinzani kupinga kila kitu hasa hatua zilizochukuliwa kwenye makinikia
Wafuatao ndiyo walikuwa watia nia wa Sengerema
1. Hamis Tabasamu- Std 7
2. William Ngereja - Master in Law
3. Philemon Tano - Master in HRM
4. Joshua Shimiyu- Master in HRM
5. Lawrence Masha- Master in Law
6. Yohana Kasenga- Shahada ya elimu.
7. Ndakama Salang’anya- BA Econom
8. Kelvin Natto- BA in Law
9. Tumaini Limbe-Shahada ya Kilimo
na Mifugo
10. Yunge Maige- Bachelor ya Accounts
11. Mlyambelele Levi Ng'weli- Sheria + Post Graduate Diploma in Legal Practice.
12. Veronica K. Mugoyela- shahada ya Uzamivu fani ya Pharmacy.
13.William J.Tega PGD -Economic Diplomacy
14. Eng. Suleman Daudi Arthur Nkalango - Ph.D In Information and Telecommunication Engineering
15. Evarist Clement Matulanya- Shahada ya Ualimu
16.Dotto Joseph Ndemella-Master of Arts in Economics
17.Dr Godwin Silas Macheku,Adv.dipl (SRHR),MD(doctor of medicine),MMED (masters of medicine)(obgyn)
18. Onesmo Yegella Ntoneji, Masters in Procurement and supply chain management. PGD in Air Transport Management, (Airport operations)
Jimbo la Sengerema hawa ndio waliotia nia na namba 1 Ndo kashinda.
Kama ccm ilijua Sheria iko wazi na walikuwa na Nia njema,Kwanini watumishi hawakusomewa Sheria hiyo wakati wanapewa fedha za fomu na michango mbali mbali? Wenye hiyo Sheria tunaomba aiweke haps tuisome.ni uonevu mtupu na njia ya kukatisha tamaa walio Soma kugombea ili wahombeaji wawe wale was darasa la Saba tu.Mfanyabiashara wa mafuta maarufu Hamis Tabasamu hivi karibuni ameshika nafasi ya kwanza kura za maoni CCM jimbo la Sengerema. Hamis Tabasamu mwenye elimu ya darasa la saba tu ameweza kuwashinda wasomi wabobezi wa maswala mbalimbali waliotia nia katika jimbo hiloSheria iko wazi wakasome hawajaonewa