Watumishi wa Umma waliotia nia kugombea nafasi mbalimbali za kisiasa kukatwa mshahara wa mwezi Julai

Nilisikia kuna watia nia furani waliohatarisha nafasi za wenye chama chao ndo wamelengwa zaidi. Sijui kama kuna ukweli
Pia wamelenga zaidi mikoa yenye upinzani ikiwa ni pamoja na kuogopa jinsia ya kike viti maalum.
 
Sheria ya kipumbavu kwasababu imekugusa wewe?? Rais na mawaziri nafasi zao ni za kuchaguliwa, hivyo ni lazima watie nia, wewe mtumishi wa umma huwa unachaguliwa? Tusipindue taratibu kwasababu zimetubana bali tujifunze kufuata taratibu. Kitendo tu cha kutia nia maana yake wewe una maslahi na chama fulani, unaweza kutumia Mamlaka yako vibaya kama tusipokutoa kwenye utumishi temporarily.
Sasa kutia nia kwenye uchaguzi wa chama kabla mtu ajachaguliwa kuwakilisha chama inaingilianaje na kazi yake ya umma?

Kwani wafanyakazi wa umma hawana chama?
 
Taratibu ziko wazi kabisa, nashangaa huyu mtu kuja kulalamika kwenye mitandao baada ya kuona taratibu zinataka kutekelezwa.
Kwenye viti maalum ubunge mbona taratibu haziko wazi? Au wamegombea kutumia sheria za nchi jirani?
 
Waraka niliokutajia umeusoma? Ni wa mwaka 2015

Waraka Namba 1 wa Utumishi wa Umma wa 2015 unamtaka mtumishi kabla hajaenda kugombea cheo cha kisiasa aombe (na apewe) likizo ya bila malipo. Kipindi hicho chote hatalipwa mshahara!
Na akipitishwa na NEC anakoma utumishi wa umma.

Sema tu watu huwa tunajifanya kusahau ila kila kitu kiko wazi
 
Yes ni kweli kabisa, waraka huu nimeusoma vizuri sana na kuuelewa kabisa. Nashangaa watu wanajifanya kulalamika hapa
 
Tena wapo walioenda kutia nia bila hata kuomba na kupewa likizo. Na watakaposhughulikiwa na sheria utawaona mbio wanaanza kulalamika
 
Waraka Namba 1 wa Utumishi wa Umma wa 2015 unamtaka mtumishi kabla hajaenda kugombea cheo cha kisiasa aombe (na apewe) likizo ya bila malipo. Kipindi hicho chote hatalipwa mshahara!
Na akipitishwa na NEC anakoma utumishi wa umma.

Sema tu watu huwa tunajifanya kusahau ila kila kitu kiko wazi
Waraka huu imetumika kusitisha mishahara kwa watumishi wa Umma walikwenda kutia Nia majimboni tu,walio kwenda kutia Nia ubunge viti maalum hawakukatwa mishahara yao he waraka huu unaangalia unasemaje kuhusu Hilo?
 
Waraka Namba 1 wa Utumishi wa Umma wa 2015 unamtaka mtumishi kabla hajaenda kugombea cheo cha kisiasa aombe (na apewe) likizo ya bila malipo. Kipindi hicho chote hatalipwa mshahara!
Na akipitishwa na NEC anakoma utumishi wa umma.

Sema tu watu huwa tunajifanya kusahau ila kila kitu kiko wazi
Waraka huu imetumika kusitisha mishahara kwa watumishi wa Umma walikwenda kutia Nia majimboni tu,walio kwenda kutia Nia ubunge viti maalum hawakukatwa mishahara yao je waraka huu unaangalia unasemaje kuhusu Hilo?
 
Walifuata miongozo ya utumishi wa umma?
expand...Waraka huu imetumika kusitisha mishahara kwa watumishi wa Umma walikwenda kutia Nia majimboni tu,walio kwenda kutia Nia ubunge viti maalum hawakukatwa mishahara yao he waraka huu unaangalia unasemaje kuhusu Hilo?
Quote
 
Waraka huu imetumika kusitisha mishahara kwa watumishi wa Umma walikwenda kutia Nia majimboni tu,walio kwenda kutia Nia ubunge viti maalum hawakukatwa mishahara yao je waraka huu unaangalia unasemaje kuhusu Hilo?
Mimi sijui kama kuna makundi yaliyositishiwa mshahara na wasiositishiwa mshahara ila najua watakua upo na ndio unaotakiwa kutumika
 
Ubunge Vito maalum hawakuhusika hata kidogo kwenye sheria hiyo.ushahidi tuna na ni wengi Sana.
 
Waraka Namba 1 wa Utumishi wa Umma wa 2015 unamtaka mtumishi kabla hajaenda kugombea cheo cha kisiasa aombe (na apewe) likizo ya bila malipo. Kipindi hicho chote hatalipwa mshahara!
Na akipitishwa na NEC anakoma utumishi wa umma.

Sema tu watu huwa tunajifanya kusahau ila kila kitu kiko wazi
Maafisa utumishi wa ngazi za Halmashauri wamehusika kutumia waraka huu kuwaadhibu watumishi wa umma ambao wametia Nia kwenye majimbo tu na kuwasamehe wale walio kwenda kutia Nia ubunge Vito maalum.Hii imeleta image ya ajabu na ya tofauti kubwa kwa watumishi wa umma.
 
Mimi sioni kama hiyo ni adhabu ila ninachoamina hao wanaosemwa walienda kutangaza nia ila wakalipwa mshahara wajiandae kuzirudisha. Nina uhakika hadi sasa account zao zimeshasoma -
 
Waliotia Nia Viti maalum ubunge fedha zao zote zimeingia kwenye account zao na wamesha zichota na kulipa madeni waliokuwa wanadaiwa.ikumbukwe wazi hata orodha ya walio tia Nia Vito maalum HR hawana na hawawajui hivyo hata kuwatambua ni shida mtawakata mishahara kwa njia zipi.Sheria iliyo tumika imebagua Tena tuna wasi wasi viongozi wakubwa pia wamerukwa na Sheria hii kwa wale waliokwenda kutia Nia.
 
Hii nchi ina viongozi wa hovyo sana. Ngoja tupige kazi uchaguzi huu.
 
Back
Top Bottom