Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa 6 wakiwa na mshahara ule ule uliopanda kwa mara ya mwisho mwezi July, 2015

Kwa hili siwezi kujifanya mnafiki kusikitika kumpoteza mtu ambaye hakujali maslahi ya watumishi kwa kipindi cha miaka mitano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…