Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Kuna maaskari wameanza kulalamika mitandaoni kuhusu kiwango cha fedha wanachopata wanapoostaafu. Wanalalamika wakati ambao wao wenyewe ndio walisimamia kikokotoo kitumike. Najiuliza walidhani kikkokotoo kinatumika kwa waalimu tu?
Kibaya zaidi pamoja na kulipwa fedha ndogo wao hao hao wapo mstari wa mbele kupigania kusiwepo na tume huru ya uchaguzi.wao ndio watakaosimama kutetea chama tawala na hata sasa wanaoandaliwa kusimamia uchaguzi
Kikokotoo mbele kwa mbele....wamekitaka wenyewe......kwa presha zao wenyeweee.......acha wasome namba eeeheee.....kikokotoo mbele kwa mbeleeeee
Kama wao wanawakataza waalimu na manesi kulalamika kwanini wajione wao wana haki yakiandika mitandaoni na kwenye magazeti?