wadau tuwafichue na kuwataja watumishi wa vyuo mbalimbali ambao wamekuwa ni kero kwa wanafunzi kusoma na kujipatia elimu iliyo bora...m nlisoma ifm jamani watumishi wa pale wanaringa kama wamesomea peponi...ni wasumbufu sana..ukiwa na shida unaweza tamani uache chuo