•Mh Katibu Mkuu inakuwaje mtumishi anapata total score 65 lakini progressive 00% shida kubwa inakuwa kwa nani?
•Maana yake huyu mtumishi hajakuwepo kazini mwaka mzima?je yule anaemsimamia aliwahi kumpa onyo la kutotimiza wajibu wake?je hakuna njia mbadala ya kuthibitisha huyu mtumishi alifanya kazi nzuri na mfumo aidha ukashindwa namna ya kuuiteract nao?
•Je kama serikali haijawahi kukosea na kuwakosea watumishi wao na watumishi kwa unyenyekevu wakavumilia?leo mtumishi aidha ugeni wa mfumo na pengine hamjampa hata semina ya pepmiss namna ya kujaza leo mnatumia kama rungu kumaliza kabisa,?
Mfano ajira ya ualimu 2013 ilipanda kwa mara ya kwanza 2019,je hii ilikua haki?pamoja na uhakiki wa vyeti uliofanyika mliwafidia nn hawa walimu ,lakini hawa walimu ndio hao leo score zao na progressive zao ni hafifu lakini wamekosa haki ya kupanda na hakuna taarifa nyeti muhimu,
Jibu linalotoka kwa maafisa utumishi tusubiri kauli ya katibu mkuu,jamani hebu tujifikilie vizuri,busara na sheria pia tuziangalie, huyu mtumishi hana kesi za kinidhamu yoyote ,huyu mtumishi wa ajira 2013 amepoteza miaka 03 ya bure bila kuheaabiwa , ambapo pia alikaa miaka 4 mingine akapanda 2023,leo huyu mtumishi amepata score za chini au mfumo ulipoteza taarifa au hakua assessed unamuweka sehemunya trauma kwel?dah haya ngoja inyeshe.
Pia soma ~ Prof. Shemdoe: Uzembe wa Ma-Afisa Rasilimali Watu katika Mfumo wa PEPMIS umezuia Watumishi kutopanda daraja