nakuhakikiahia hili jambo litachochea yanayochochewaUtumishi wajitafakari sana na mfumo wao wa PEPMIS. Kama mambo ya technolojia yanawashinda warudi tu kwenye analojia Yao. Wanawatesa watumishi bila sababu yoyote Kwa kutumia huu mfumo wa PEPMIS. Ndiyo Shida ya technolojia ya ku copy na ku paste.
shida kubwa ni hiyo posho wanazopeana siyo za bando ,supervisor unakuta kaachiwa makamo yeye akiona kaptation imeeNafikiri shida siyo utumishi, shida ni hao supervisors.... Je, wanauwezo wa kufill data? Je, wanafahamu nini kuhusu huo Mfumo... Sometimes unakuta supervisor wako kuingia tu' kwenye mfumo ili akubali au kupokea kazi zako anaingia kwa nadra... Baadhi ya supervisor hata kuweka bundle sometimes haweki hata miezi na miezi...
Nafikiri kuna haja ya wakuu wa Idara kutekeleza wajibu wao
shida kubwa ni hiyo posho wanazopeana siyo za bando ,supervisor unakuta kaachiwa makamo yeye akiona kaptation imeingia ndo unaona heka hekaNafikiri shida siyo utumishi, shida ni hao supervisors.... Je, wanauwezo wa kufill data? Je, wanafahamu nini kuhusu huo Mfumo... Sometimes unakuta supervisor wako kuingia tu' kwenye mfumo ili akubali au kupokea kazi zako anaingia kwa nadra... Baadhi ya supervisor hata kuweka bundle sometimes haweki hata miezi na miezi...
Nafikiri kuna haja ya wakuu wa Idara kutekeleza wajibu wao
inauma sanaInasumbua sana
hivi 2025 walizima mtandao mwezi wa kumi unategemea mwl ageweza kujaza hayo mambo?Utumishi wajitafakari sana na mfumo wao wa PEPMIS. Kama mambo ya technolojia yanawashinda warudi tu kwenye analojia Yao. Wanawatesa watumishi bila sababu yoyote Kwa kutumia huu mfumo wa PEPMIS. Ndiyo Shida ya technolojia ya ku copy na ku paste.