Tetesi: Watumishi wanaoishi kwenye nyumba za umma sasa kulipa pango ya tsh 10000 kila mwezi

Tetesi: Watumishi wanaoishi kwenye nyumba za umma sasa kulipa pango ya tsh 10000 kila mwezi

KACHINJA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
1,263
Reaction score
869
Kama kichwa kinavyojieleza,
nimeambiwa na mkuu wangu wa idara kuwa watumishi wote wanaoishi kwenye nyumba za umma watalipa tsh 10000 kila mwezi. Malipo hayo yatakatwa moja kwa moja kwenye mshahara.
 
Thats way too cheap! Huku kitaa yumba ni kuanzia laki hadi laki tatu for a typical house!
 
Kama kichwa kinavyojieleza,
nimeambiwa na mkuu wangu wa idara kuwa watumishi wote wanaoishi kwenye nyumba za umma watalipa tsh 10000 kila mwezi. Malipo hayo yatakatwa moja kwa moja kwenye mshahara.
SA MKUU WA IDARA ANAPATA 600K PLUS HOUSING ALOWANCE NA ANAKAA NYUMBA YA SERIKALI, SIMU 200K, MAJI NA UMEME 200K MSHAHARA 3.5+M NA HUYO NI MKUU WA IDARA WA HALMASHAUSRI.
 
Hiyo ni hela ndogo sana kwa kodi ya pango. Itapendeza wakikatwa 10% ya mshahara.
 
Hata wangekuwa wanakata 50 elfu bado wamesaidiwa. Idara nyingi tu suala la kulala mwajiri halimuhusu.
 
Back
Top Bottom