Tetesi: Watumishi wanaoishi kwenye nyumba za umma sasa kulipa pango ya tsh 10000 kila mwezi

Tetesi: Watumishi wanaoishi kwenye nyumba za umma sasa kulipa pango ya tsh 10000 kila mwezi

Watumishi wa umma si mmekatazwa kuperuzi humu muda wa kazi? Tena mnakosa maadili. Pigeni kazi kisha mje humu jioni
 
Mbona ndogo sana ila kwa kuanzia sio mbaya
 
Inakatwa direct? Duh hii cyo kodi ni mchango mwingne kwa mgongo wa kodi.

Hata kama ni buku inauma sana kama figure inapungua kwa salary. Bora hata ilipwe direct from hand.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NHC kwa nini nyumba za serikali wanakaa wahindi na waarabu??? Mwenye majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom