Watumishi wanne wa Ikulu wakutwa na COVID-19, Rais Kenyatta na familia yake wapo salama

Watumishi wanne wa Ikulu wakutwa na COVID-19, Rais Kenyatta na familia yake wapo salama

Watanzania wamekufa wangapi kwa corona na kenya mmekufa wangapi?.
Na bado corona inakimbiza tuu.
Bado mnayo kwa mwaka wote huu.
Hatutaki mambo kama haya kwetu, watu mnaachwa mjifie kama nguruwe kisa umaskini wa nchi

20200616_070329.jpg
 
Back
Top Bottom