Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Jembe ni kila sehemu hv sasa hakuna aliyelalaHaya sasa vituko uswahilini ivyo, sie wa huku chattle letu jembe tu
Hata huko mijini?Jembe ni kila sehemu hv sasa hakuna aliyelala
hahahahaahhahhahah, nimecheka kwa sauti hhahahahahahUpdates zaidi usisite kutupia
HA! HA! HA!hahahahaahhahhahah, nimecheka kwa sauti hhahahahahah
Cheka uongeze siku za kula ubwabwa kama sio ugali hapa ulimwenguni! hahahahaahHA! HA! HA!
nimecheka sana nilivyosikia umecheka.
Ila ndugu yangu hebu naomba urudishe lile jina la mwanzo CHIRIKA MTABIRICheka uongeze siku za kula ubwabwa kama sio ugali hapa ulimwenguni! hahahahaah
Hilo la mwanzo silipendi tena, napenda hili. hahahahahaIla ndugu yangu hebu naomba urudishe lile jina la mwanzo CHIRIKA MTABIRI
ili la sahivi hata silielewi ndugu
Unajua hili wakati mwingine ni ngumu kulisomaHilo la mwanzo silipendi tena, napenda hili. hahahahaha
Resistance to change!Unajua hili wakati mwingine ni ngumu kulisoma
Wengine vichwa ndio vichafu kubadilika kazi.Resistance to change!
mara nyingi huwa yanapotokea mabadiliko wanadamu wanakuwa wanapinga! hahahahahahahhahaahahahaha
jitahidi utaliweza tu