Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Hi jf nipo korogwe mtaa wa Mlima fundi [emoji381] [emoji382] [emoji382] [emoji381] [emoji382] leo sijakwenda job mafua yamenibana na homa[emoji382] [emoji382] [emoji381] [emoji381] .Nasikia dirishani jirani yangu mtumishi anamlalamikia mtumishi mwenzie kamuwangia na leo asubuhi kakuta yai limevunjwa mlangoni kwake na wote wanekutana midomo kama charahani wanachambana huko