A Anonymous Guest Jun 10, 2026 #1 Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu. Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai. Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya Korogwe Vijijini hatujapewa pesa za kujikimu Naomba kuwasilisha
Mimi ni moja ya watumishi wapya (Kada ya Elimu) Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu. Tangu January 2026 hatujapewa pesa ya kujikimu mpaka muda huu. Hata ajira za mwaka jana (2025), February hawajamaliziwa pesa zao, wamepewa kwa mafungu mafungu na bado wanadai. Soma Pia: Ajira mpya Halmashauri ya Korogwe Vijijini hatujapewa pesa za kujikimu Naomba kuwasilisha
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Jun 10, 2026 #2 Pole sana mfumo unaoendesha nchi umekufa yaani CCM ,Sasa ni jukumu lako kwenye ubongo wako Attachments 20260609_115810.jpg 293.5 KB · Views: 24
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,450 Reaction score 19,184 Jun 10, 2026 #3 Uwiii Sasa ndo nini Jamani. Inabidi muwe mnafikia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri Hadi mtakapolipwa. Hayo ni mateso eti
Uwiii Sasa ndo nini Jamani. Inabidi muwe mnafikia kwa Mkurugenzi wa Halmashauri Hadi mtakapolipwa. Hayo ni mateso eti
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 18,577 Reaction score 23,171 Jun 10, 2026 #4 unajiitaje mtumishi na hujathibitishwa
TypingError JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 500 Reaction score 480 Jun 12, 2026 #5 Basi sawa...