Shule ya Meta secondary iliyopo mkoa wa Mbeya inayomilikiwa na CCM kupitia jumuiya ya wazazi imezulumu watumishi wake pesa za mishahara na marupurupu mengine zaidi ya watumishi 80 wanahaha kuzipata pesa zao bila mafanikio wanaishia kutishia ili wasidai pesa zao
Na kwa sasa idadi ya wanafunzi imepungua sana kwa sababu ya kufukuza walimu bora bila kwalipa stahiki zao Serikali ichukue shule maana tangu mwanzo ilikuwa ya serikali ili watumishi walipwe pesa zao