Shule hii ya N.A. Middle School sasa Meta! ni mali ya serikali ilichukuliwa kwa hila kama vilivyochukuliwa viwanja vya michezo nchini, shule halisi ya TAPA ilikuwa Mabatini. Serikali itueleze wananchi ni vipi iliweza kuipa CCM shule ambayo ni mali yake badala ya kuihudumia ambapo hivi sasa kila mara inakuwa kwenye migogoro ya uendeshaji jambo linalowaathiri wanafunzi, wito ni busara serikali iirudishe shula hiyo kwenye miliki yake badala ya kuipa fedha za kujiendesha.Shule ya meta secondary iliyopo mkoa wa mbeya inayomilikiwa na ccm kupitia jumuiya ya wazazi imezudhulu watumishi wake pesa za mishahara na marupurupu mengine zaidi ya watumishi 80 wanahaha kuzipata pesa zao bila mafanikio wanaishia kutishia ili wadidai pesa zao na kwa sasa idadi ya wanafunzi imepungua sana kwa sababu ya kufukuza walimu bora bila kwalipa stahiki zao Serikali ichukue shule maana tangu mwanzo ilikuwa ya serikali ili watumishi walipwe pesa zao
Poa nduguyangu ngoja tupambaneWenzenu walisomaga arama za nyakati wakakimbilia serikalini nyie bado mmekomaa endeleeni kuimba iyena iyena
Msalimie mwalimu seti jamaa kagoma kabisa uacha uwalimu haa haa