Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Mdada mmoja alikuwa anasema kumeongeza issue ya wake za watu kudanga kutokana na tamaa za wadada wengi kujirundiikiana marejesho juu ya marejesho hadi imepelekea wake za watu sasa kuanza kudanga ili wafix liabilities zinazowaandama maana wanaogopa wasije wakaenda kufyekwa vitu ndani mwake maana mumewe atacharuka.
Saying that,
Hakika madeni yamekuwa sehemu ya maisha yetu sio haya pekee tunayochukua ili kufinance maisha yetu bali hata haya makato tunayokatwa makali ili kufinance mikopo ya miradi inayofanyika.
Tumejikuta mioyo iko juju sanaaa, kuanzia nipige tafu hadi katika shughuli zetu za kila siku, kila kitu kinakudai, hadi wewe mwenyewe unakuta unajidai, unachukua pesa ya pango ya biashara kuongezea katika ada ya mtoto.