Watumwa wa kileo hawapo katika minyororo, wapo katika madeni

Watumwa wa kileo hawapo katika minyororo, wapo katika madeni

Nasikiliza nyimbo ya meja kunta ile danga la mke wangu, imenipa ujumbe maridhawa
 
Ina maana watu wanaoishi wanakopa? Na baada ya hapo kama umekubali kukopa, vikoba, upatu, na mengineyo basi ukubali na matokeo mabaya ikiwemo kugongewa, Sahihi kabisa wote wenye mafanikio Haina maana hakuna changamoto, tunachoongelea ni changamoto, wanawake wanazitatuwaje? Ndo na huko vikoba wanadaiwa Bora pesa ya kuomba, kwa mume, kaka, baba, kuliko pesa ya kuomba vikoba.
Utaomba kila siku na kwa kila changamoto na hitaji unayokutana nayo uombe?si utachokwa?utasimangwa si kila aliyekwenye kikoba anagongwa watu wanamalengo yao bwana.. usikariri
 
Back
Top Bottom