Ina maana watu wanaoishi wanakopa? Na baada ya hapo kama umekubali kukopa, vikoba, upatu, na mengineyo basi ukubali na matokeo mabaya ikiwemo kugongewa, Sahihi kabisa wote wenye mafanikio Haina maana hakuna changamoto, tunachoongelea ni changamoto, wanawake wanazitatuwaje? Ndo na huko vikoba wanadaiwa Bora pesa ya kuomba, kwa mume, kaka, baba, kuliko pesa ya kuomba vikoba.