Waturuki hawazidi 200 wanatujengea reli wa TZ Milioni 64

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
66
Heshima mbele wakuu,
Mimi ninaishi Dodoma eneo linaitwa Ntyuka, hivyo basi kila siku ninavyokwenda kazini ninavuka hii reli inayojengwa (mradi wa SGR). Hii inanipa fursa ya kuona maendeleo ya ujenzi siku baada ya siku.

Kwa kipindi hiki kifupi nime observe au kujifunza haya yafuatayo;

1. Hawa jamaa waturuki pamoja na uchache wao wanaweza kufanya kazi kubwa sana. Kwa maana ya kufanya kazi, kusimamia ubora wa kazi na masuala ya kitalaam. Kuna wazawa wanasaidia ofcoz ila issue zote za quality ya kazi inasimamiwa ma mturuki.

2. Hawana vifaa tofauti na ma engineer wa hapa kwetu. Hapa nazungumzia kazi ya ujengaji wa tuta la reli, ubora wa kushindilia kifusi na finishing standard. Yaani jamaa wapo wachache lakini wapo speed hatari na kazi ina ubora wa hali ya juu. kwa macho ya mm ambaye hata sio muhandishi lakini ninaweza kusema kifusi wanachoweka pale ni cha ubora wa hali ya juu ambacho kama kingekuwa kinatumika kutengenezea hizi barabara zetu hata kama ni za vumbi..zingekua zinapitika vizuri sanaa.

3. Jamaa wapo committed na kazi. Muda kazi ni wa kazi hakuna story, wa tz mzaa mwingi, yaani kabarabara kadogo mtu atatumia miezi kujenga tena kwa kumwaga vimichanga tu not serious kifusi. ikifika saa 11 watu vifaa chini wanaelekea bar kujipongeza kwa kazi ambayo hata ubora hakuna.

4. Kwa huu mradi nimejifunza asee Ma engineer wetu wanatuangusha sana..yaan usanii mwingi sana wanapota kazi. people are not serious kabisa na kile wanachofanya. wanachukua vibarua tu mtaani wanalipua kazi wanakabidhi.

5. Nimejifunza pia tukiamua tunaweza asee. Hapa nazungumzia somo la ubora wa kazi kutoka kwa hawa jamaa na kutumika kwa makampuni yetu ya ndani kwenye miradi yetu ya ujenzi. kwani vibarua asilimia kubwa ni locals. so kinachotakiwa ni usimamizi madhubuti kwa hawa locals hasa kwenye details..sehem ya kunyooka inyooke na sio kutoa visababu mbuzi.

6. Local engineering campany zetu hawawezi kufanya kazi hata burundi..yaani tunaishia kubanana humu humu kwa sababu ya ujanja ujanja. check makampuni ya Korea, Turkey, China..ubora wa kazi unawapa confidence.

7. Tunahitaji kujiangalia upya hasa kwenye masuala ya ujenzi.

Nawasilisha naomba tujadili hili suala kuwa kusaidia local construction industry tuache ushabiki
 
Money talk, tumeyasoma sana haya kwenye economic geography nk, no implementation no success, sisi tumekalia siasa kuliko vitendo
 
Hi nchi imejaa wasani watu wa ongo wa wongo kila sekita hata serekalini bungeni, huwezi kuamini mpaka leo kuna shule nyingi watoto hawana madawati wana kaa chini?
 
Vyema Jf ikarudi kwenye misingi ya hoja kama hizi,sio hivi sasa hoja nyegezeshi nyingi sana na misingi kupungua.

Hapo kuna la kunifunza mtoq mada
 
Back
Top Bottom