Waturuki washusha bei ya nyama Tanzania

Waturuki washusha bei ya nyama Tanzania

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
516
Reaction score
905
Wakuu uko kwenu vipi nyama huku kwetu nyama kwa masada wa waturuki imekua nyingi mpk sasa mafriji yamejaa watu wanachuna tu tangu sikukuu ianze. Hata idadi ya mbwa koko imeanza kuongezeka kitaani ndani ya wiki hizi 2


View attachment 2678427
 
Ninachojiuliza na sipati majibu hawa jamaa wameanza kuchinja kitambo kabla hata ya sikukuu ni nini kiko nyuma ya hizi misaada na nyama za bure?
 
Ninachojiuliza na sipati majibu hawa jamaa wameanza kuchinja kitambo kabla hata ya sikukuu ni nini kiko nyuma ya hizi misaada na nyama za bure?
Ni Kila mwaka wanafanya hivyo. Sasa unachojiuliza ni kipi bwana mkristo! Ama unahisi nini? Halafu hiyo sio misaada ni sadaka tu Kwa ajili ya Mungu, ni ibada mzee.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Acha kua na mawazo ya kimasikini,kama vipi na wewe chinja ugawe kwa watu wengi zaidi kuliko wao,kwani umekatazwa?
Hata hujakosea ni kweli mimi maskini sasa nilitegemea wewe tajiri ujibu swali na kunielewesha badala ya kukimbilia kutweza utu wangu.
Natambua kwamba wakati wa sikukuu kuna watu wanajitolea sadaka na kuchinja. Ninachojiuliza mimi mwaka mzima karibu kila siku wanachinja kuna nini nyuma yake? Ni sadaka, moyo mwema au kitu kingine?
 
Wakitaka waone misaada yao sio chochote si lolote waanze kuchinja Kitimoto basi, hata uchinje nguruwe buku siku zote nyama huwa haitoshi
 
Back
Top Bottom