kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizi bangi mnavutia chooni au relini?
Acha kua na mawazo ya kimasikini,kama vipi na wewe chinja ugawe kwa watu wengi zaidi kuliko wao,kwani umekatazwa?Ninachojiuliza na sipati majibu hawa jamaa wameanza kuchinja kitambo kabla hata ya sikukuu ni nini kiko nyuma ya hizi misaada na nyama za bure?
Ni Kila mwaka wanafanya hivyo. Sasa unachojiuliza ni kipi bwana mkristo! Ama unahisi nini? Halafu hiyo sio misaada ni sadaka tu Kwa ajili ya Mungu, ni ibada mzee.Ninachojiuliza na sipati majibu hawa jamaa wameanza kuchinja kitambo kabla hata ya sikukuu ni nini kiko nyuma ya hizi misaada na nyama za bure?
Hata hujakosea ni kweli mimi maskini sasa nilitegemea wewe tajiri ujibu swali na kunielewesha badala ya kukimbilia kutweza utu wangu.Acha kua na mawazo ya kimasikini,kama vipi na wewe chinja ugawe kwa watu wengi zaidi kuliko wao,kwani umekatazwa?
SawaNi Kila mwaka wanafanya hivyo. Sasa unachojiuliza ni kipi bwana mkristo! Ama unahisi nini? Halafu hiyo sio misaada ni sadaka tu Kwa ajili ya Mungu, ni ibada mzee.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Wewe chinja kiti moto,ni uamuzi wako.Wakitaka waone misaada yao sio chochote si lolote waanze kuchinja Kitimoto basi, hata uchinje nguruwe buku siku zote nyama huwa haitoshi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]