Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Nov 16, 2024 #1 Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha wengine ndio kumsifia msanii mpaka anajiona Mungu mtu
Watz baadhi mnajiabisha kufwata fwata wasanii matakoni ni uboya ulivuka mipaka unaweza ukawa sehemu umetulia akapita msanii unashangaa watu wanamfwata mfwata kila anakoenda kubembeleza picha wengine ndio kumsifia msanii mpaka anajiona Mungu mtu
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Nov 16, 2024 #2 Sa Si Ndioo
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Nov 16, 2024 Thread starter #3 Palmoni said: Sa Si Ndioo Click to expand... Ndio nini?
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Nov 16, 2024 #4 Mwachiluwi said: Ndio nini? Click to expand... Kwani Wewe Umeandika Nini?