Udenda mwing wa nini,twende taratibu,wapi wamekosea tuangalie brooVinyangarika na vibwanga vyao, wanatumia nguvu nyingi sana, kwenye maswala yasokuwa na tija. Yote katika hali ya kupimana nguvu na Kenya, tena kwa lazima!
ππππππππππMbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11
MEAN WHILE AT ATCLMbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11
SHAME ON KADODA...AIBU SANA MZEE WA 50 KUDANGANYA UNALAANI WATOI WAKOMbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11
Is this an airport terminal or a slaughter house?The day JKIA has a terminal like this hell will break loose.
Hio ni godown amaThe day JKIA has a terminal like this hell will break loose.
Bora umelisemea hili. Jana kutwa nzima wametujazia simu kwa picha za Oman wakidai ni JKNIA, kumbe sioMbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] neighbors kausheni basiWewe unadhani ni waongo. La, ni mazuzu. Wengi wao walikua na unakika kwamba ni picha za JNIA. Lingine ni kwamba wengi wao humu ndege hawajawahi panda, Airport hawajaingia?
Hio picha hata hainishangazi. Jambo linalonishangaza ni kwamba hakuna watanzania hapa JF walio notice kua hio sio picha halisi, 99% walisherehekea kana kwamba hio ni picha ya jnia.Mbona msiwe na fahari na cha kwenu hata kama kina sura mbaya kama zizi la ng'ombe.
Kuna hizi picha game over anazieneza humu kwenye nyuzi kadhaa akidai ni picha za JNIA mpya, ilhali picha zenyewe ni za uwanja wa ndege wa Waarabu kule Oman.
Hii hapa picha ya MUSCAT international Airport
New Muscat International Airport to offer enhanced passenger experience: Official - Oman
Hii hapa picha mnayotumia kusema ya kwenu
Kenya number one in the world in phone internet traffic
CC: kadoda11
Hi godown ni nomasanaππππππThe day JKIA has a terminal like this hell will break loose.