RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,394
Hio picha hata hainishangazi. Jambo linalonishangaza ni kwamba hakuna watanzania hapa JF walio notice kua hio sio picha halisi, 99% walisherehekea kana kwamba hio ni picha ya jnia.
No wengi wao hua wanapenda kujisifia hapa jf kua wao husafiri nchi mbali mbali , this means hua ni uongo mtupu , walitumia airport gani wakati hawajui hata JNIA inafanana vipi! This terminal has been under construction for the last 3 years na hakuna mtz wa hapa JF ameiona na macho yake mawili kiasi cha kujua hio picha so ya JNIA new terminal
Unatulaumu bure tu Kafrican sasa hivi tunakula kile wakubwa wanataka...... Hiyo terminal tunaiona kwa nje tu tukipita, siku wakipenda watatuonyesha...
Please bear with us