WaTZ bila aibu mnatumia nguvu nyingi kupachika picha za uwanja wa ndege wa nchi nyingine na kudanganya eti ni JNIA mpya

Unatulaumu bure tu Kafrican sasa hivi tunakula kile wakubwa wanataka...... Hiyo terminal tunaiona kwa nje tu tukipita, siku wakipenda watatuonyesha...

Please bear with us
 
I doubt there's a Kenyan here who wouldn't tell JKIA or MIA from another airport.
 
Jamani ndugu zetu waKenya tusameheni bure jamani si mnajua tunaongozwa na watu wa namna Gani?? Kausheni tu tu majirani, hii NI aibuuu!
 
Jamani ndugu zetu waKenya tusameheni bure jamani si mnajua tunaongozwa na watu wa namna Gani?? Kausheni tu tu majirani, hii NI aibuuu!
Sawa jirani tumekausha. Ila waambie wapunguze rate. Sitimu zimewapanda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…