Watz kwa ushrikina bana, wazee sasa wameruhusu ujenzi wa barabara ijayo Kenya na wapo tayari kuitambikia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu ili ujenzi huo uendelee hali iliyomruhusu mkandarasi wa barabara hiyo kuendelea na ujenzi.
 
Ala! ndio maana ni mifukara 😂 😂 😂 😂 😂
 
Navile handeni kumebeat, nothin much happens on that side apart from mining waah
 
Wazee wa Kijiji cha Kwamsisi wilayani Handeni mkoani Tanga ambao walizuia ujenzi wa Barabara ya Afrika Mashariki inayopita kwenye kijiji chao mpaka wapewe kiasi cha shilingi milioni 21 ili waweze kuitambikia barabara hiyo, hatimaye Wazee hao wamekubali kupewa shilingi milioni moja na laki tatu ili ujenzi huo uendelee hali iliyomruhusu mkandarasi wa barabara hiyo kuendelea na ujenzi.

Mkuu hao ni Wazee wa CCM. Ndo kazi zao
 
Wazee wahuni tu kama aliowataja humphrey slowly
 
Sema mliwapunja, dai lao lilikua milioni 20, sasa hiyo milioni moja wanagawanaje, subiri muone trakta zinakwama.
'trakta' ndio tractor? Zinafanya nini kwenye ujenzi wa barabara?
 
Hawa watu wa tanga wanapenda uchawi sana, kumbe si story nilikua naskia, nakumbuka pisi mmoja mchaga alituonya tuogope pisi za tanga[emoji23]

3034982_JamiiForums96402464.jpg
 
Hawa watu wa tanga wanapenda uchawi sana, kumbe si story nilikua naskia, nakumbuka pisi mmoja mchaga alituonya tuogope pisi za tanga[emoji23]
Mbona ni Mambo ya kawaida tu kwenye Mila za makabila mengi magufuli alikutananayo simbawanga daraja kila siku linasogea
 
Back
Top Bottom