Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Halafu mwanaume sasa na kibaya zaidi wala hajishtukii, inasikitisha.Yaani jamaa anajikomba kwa wakenya bila hata aibu, aisee.
khaaaa yani unakuwa mtumwa kwenye nchi yako mwenyewe?? kudadadeki!!These are the shocking factsView attachment 811152View attachment 811153
Angalia handle yake utajua anatokea wapi!kwani we ndugu yetu unaishi wapi???tuanzie hapo kwanza...
halafu huyu jamaa sijui anatokea wapi ye anafikiri akilala akiamka atakuta reli tayari..haaaaaa haaaaaa aki ya nani wakenya hamuishi vituko..
Ukisikia mateso wanayoyapata na jinsi mradi walivyotapeliwa utashika kichwa. Yani mchina ndio anaendesha mradi na wanamlipa karibia billion kumi kila mwezi nje ya deni lake.khaaaa yani unakuwa mtumwa kwenye nchi yako mwenyewe?? kudadadeki!!
kweli Kenya ina wenyewe...
Naishiaga kushika kichwa tu na kujichekea, wanasikitisha Sana aisee.halafu huyu jamaa sijui anatokea wapi ye anafikiri akilala akiamka atakuta reli tayari..haaaaaa haaaaaa aki ya nani wakenya hamuishi vituko..
Kwa hiyo wewe ulivyo msikia Heche akiuliza uka ona yes na mimi nimepata cha kuongea! Unakuja humu unarudia maneno ya Heche kama yalivyo! Siku nyingine usiseme reli imejengwa kwa mita ngapi, sema mradi ume kamilika kwa asilimia ngapi? tafuta taharifa, mbona vitu vipo wazi.Where and how can I prove kwamba huo ni ujenzi wa reli/SGR unaofanyika Tanzania?????
Attachment 1. Ni barabara ya lami; Attachment 2. Ni bulldozer or something related.. lile la kushindilia lami; Attachment 3.Ni Daraja la juu ambalo sio lazima liwe la SGR.
Msiwe mnakuja hapa na hizi evidence za kipumbavu.
Mbunge wa Tarime John Heche aliuliza majuzi Bungeni muonyeshe SGR imeshajengwa kwa MITA ngapi mpaka sasa!
Jibu hilo swali and stop misleading.
Tunajiandaa na phase III na Isaka-Kigali sections! Endelea kupiga kelele! Wakati mkopo wa three phases SGR Tanzania (Dar-Moro 305 km + Moro-Makutupora 336 km + Makutupora-Tabora 400 km+ Isaka-Kigali 200km) ni below $500 mln tena soft loan, Kenya is to loan over $9 bln to just reach Kisumu n yet diesel train with 1960s locomotives!
While in Kenya aside over $3.5 bln for Mombasa-Nrb 472 km.
the line (120km) running from Nairobi to Naivasha in Kenya is expected to cost $1.7 billion (Shs6 trillion), from Naivasha to Kisumu port (266km), the cost estimate stands at $3.6 bilion (Shs13 trillion), while the 107km line connecting to Malaba on the Uganda-Kenya border will cost $1.7 billion (Shs6 trillion).
Tanzania starts construction of railway line link to Uganda
Wewe ni sawa na wale wazee wanaouliza wazungu kama kweli wamefika kwenye mwezi, kwanini wasiupake rangi tuone?Mkuu kiukweli hakuna pesa za ndani ya Tanzania pekee za kuweza kufanya project ya SGR..
Hakuna.
Waulize hata hao wanaokesha hapa kwenye hii platform hiyo SGR imeshajengwa mita ( sio kilomita) mpaka hivi sasa..!!
Wao ni kelele tu oohh pesa zipo lakini kiukweli kila Mtanzania anajua kwamba pesa za SGR hakuna na ndio maana JPM alifika hadi hatua ya kumuomba Zuma wakati bado akiwa Rais amsaidie kupata mkopo wa SGR kwenye financial institutions za SA..
Huwa nacheka sana hawa jamaa wanapokuja hapa kuiponda SGR ya Kenya ambayo ipo tayari kwa sehemu kubwa na imeshaanza kufanya kazi wakati ya kwao haijulikani hata lini hiyo itajengwa..
HONGERA nyingi kwa Kenya.
Well noted Mkuu.Guys, before arguing let's do some research first instead of saying things we do not know and ending up looking stupid.
Attachment 1. Siyo lami (tarmac) Ni sub-ballast layer. Depending on the geography of the region, the rail bed is recommended to have a variety of layers. So what you're seeing isn't tarmac road but the compacted sub-ballast layer which at quick glance looks like a typical paved road. A simple google search would suffice your knowledge.
http://superitn.eu/wp/wp-content/uploads/2015/01/CRM-Subballast.jpg
Heche seems to be ignorant of the rail construction progress. Rail track laying doesn't start on day one. A lot has already been done in the Tanzanian rail construction. That was just politics.
aisee wewe kama ni jogoo utakuwa unaatamia.si utembee tembee hata youtube au tatizo bundle????Mkuu kiukweli hakuna pesa za ndani ya Tanzania pekee za kuweza kufanya project ya SGR..
Hakuna.
Waulize hata hao wanaokesha hapa kwenye hii platform hiyo SGR imeshajengwa mita ( sio kilomita) mpaka hivi sasa..!!
Wao ni kelele tu oohh pesa zipo lakini kiukweli kila Mtanzania anajua kwamba pesa za SGR hakuna na ndio maana JPM alifika hadi hatua ya kumuomba Zuma wakati bado akiwa Rais amsaidie kupata mkopo wa SGR kwenye financial institutions za SA..
Huwa nacheka sana hawa jamaa wanapokuja hapa kuiponda SGR ya Kenya ambayo ipo tayari kwa sehemu kubwa na imeshaanza kufanya kazi wakati ya kwao haijulikani hata lini hiyo itajengwa..
HONGERA nyingi kwa Kenya.
The first picture yenye watu wamesimama hapo mbele yao yeli imrunganishwa yani hio ni jointed rail... yenu mnayojenga ni continuous. .. kwahivyo hio picha so ya sgr yenu... ama labda uniambie mnajenga jointed railJPM sio saizi yenu_View attachment 811159View attachment 811160
Hii kali mkuu,ulitaka ianze kutandazwa reli kabla ya kuweka kuweka vizimba,km sio wivu unaokusumbua bhas utakua comedian,na inawezekana nyumba yako utaanzaa kuweka paa kabla ya kujenga msingi na boma!Phase 1 na 2 zimeshajengwa mita ngapi?
Au ni kuweka vizimba na kuzindua phase 3 tu?
Ahaa kumbe na mkopo pia ipo eehh!
Sasa jamaa anavyotamba ni fedha za ndani tu na mnamuitikia kama mazuzu bongo zenu zinakuwaga zina utapiamlo..?
Punguani huyo alafu kwan rais alisema hatuto kopa??? 700km kwa fedha za ndani sio mchezo buda. Je hao nyang'au walijenga hata mita moja ya SGR kwa fedha yao? Alafu anaforce eti nioneshen hata mita moja kwani wewe ni nani, subir muda tuliokubaliana na mkandarasi ufike hapo utakua na haki ya kuhoji kama mlipa kodi wa nchi hii. Acha kiherehere kijana.Yaani jamaa anajikomba kwa wakenya bila hata aibu, aisee.
Siku zote mnakesha mkitutambia kwamba SGR mtajenga kwa hela yenu wenyewe, sasa mkopo wa dola milioni 400 mnafuata kutoka kwa benki ya DTB. Amueni kimoja, sio kututunishia misuli wakati nyie mpo bado bado sana kwenye LDC.
Kukopa ni sawa, ila wacha kuwahadaa watu eti hela unazo huku ukijificha usiku kwenda kukopa...hehehehe povu naruhusu, mwageni tu...
----------------------------------------------------------------
Tanzania has secured more than $400 million from the Trade and Development Bank (TDB) to fund part of its standard gauge railway and a 318MW gas plant.
This will be the first time President John Magufuli's administration has turned to a financier for a railway project, having said this year that his government has enough funds to finance the construction of the $2.5 billion line.
The development also comes barely three months after the country turned to the African Development Bank to finance two of its major infrastructure projects — the 2,100MW Stieglers Gorge hydroelectric plant and the modernisation of the Dodoma Airport.
On Tuesday, TDB President Admassu Tadesse said the bank, formerly known as Eastern and Southern African Trade and Development Bank, had allocated the funds to help Dar es Salaam push forward with its railway and energy infrastructure projects.
“So far our bank has allocated $200 million for the SGR Central Corridor project and another $200 million that will go towards the gas power plant,” said Mr Admassu.
The regional development bank chief had a meeting with Tanzania’s Finance Minister Dr Philip Mpango and his energy counterpart Dr Melard Kalemani, which centred on the financing and implementation of the two projects.
“We are ready and willing to support Tanzania in its execution of development projects in the country. As at March this year, we had implemented more than 10 projects worth $285 million in Tanzania’s banking, agriculture, manufacturing and infrastructure sectors,” said Mr Admassu.
Documents seen by The EastAfrican show that Dar es Salaam received $191.67 million as at December last year from the regional development bank for an array of projects, attracting an interest of $1.85 million.
By that time, the bank had offered more than $2.62 billion in project development lending to its member countries.
The Bujumbura headquartered TDB with a $4 billion asset base, also said that it has $160 million worth of projects approved for Tanzania, with a further $660 million having been allocated to Dar es Salaam to boost its trade, energy, agriculture and infrastructure sectors.
“We are happy that TDB has offered us these soft loans to support our development projects. We will ensure that we complete negotiations by the end of September so that the funds can be released,” said Dr Mpango.
According to funding documents seen by The EastAfrican, Tanzania will start receiving the funds next year, with $27.55 million over a five year period rising to $60.27 million the following year, $80.28 million in 2021, $88.77 million the year after, $97.26 in 2023 and a final disbursement of $110.88 million in 2024.
The financing documents show that the French Development Agency is also expected to offer $100 million for this project, while the European Commission will offer $30 million, of which $10 million will be a grant.
Tanzania has been seeking funds to modernise its transport and energy projects as it seeks to meet its industrialisation vision in the next seven years.
Early this year, Dar es Salaam said it had set aside more than $610 million in the 2018/19 budget for the construction of the 300km SGR between Dar es Salaam and Morogoro; and the 336km Morogoro and Makutopora line.
This would have been significantly higher than the $392.23 million set aside in the current financial year. However in the budget presented last month, Dar es Salaam failed to allocate funds for the SGR project.
Regional bank to help Tanzania fund SGR, gas plant
Hahaha kichapo watanzania wanachowagawia chadomo huko kwenye kata ni lazima muwawewesekee wakenya unfortunately hawawezi kuwapigia kura 2020Where and how can I prove kwamba huo ni ujenzi wa reli/SGR unaofanyika Tanzania?????
Attachment 1. Ni barabara ya lami; Attachment 2. Ni bulldozer or something related.. lile la kushindilia lami; Attachment 3.Ni Daraja la juu ambalo sio lazima liwe la SGR.
Msiwe mnakuja hapa na hizi evidence za kipumbavu.
Mbunge wa Tarime John Heche aliuliza majuzi Bungeni muonyeshe SGR imeshajengwa kwa MITA ngapi mpaka sasa!
Jibu hilo swali and stop misleading.