Mimi ninataka kuja kusoma Kenya, ninyi ndio mnasifika katika Africa kwa kuzalisha best terrorists na Ku export nchi za jirani. Tafadhali nijulishe, chuo gani ni best huko Kenya katika somo la terrorism?
Tumeweka rekodi sawa, wakenya mlituchokoza, watanzania tukawapa majibu, sasa mmebaki kulia lia.
Ukweli utabaki kuwa ukweli, watanzania tutalinda heshima ya nchi yetu mpaka mwisho.
rekodi ipi mumeweka sawa, kwa kujaza Kenya news na mada zenu za korosho, wembe ni ule ule, uwanja tumeachiwa kuweka mada zetu, zitawachosha mpaka basi.
Nani alileta mada ya korosho hapa kama sio mkenya alitetaka kutudharau. Mlianza hivi hivi huko nyuma lakini hivi sasa ni jino kwa jino,rekodi ipi mumeweka sawa, kwa kujaza Kenya news na mada zenu za korosho, wembe ni ule ule, uwanja tumeachiwa kuweka mada zetu, zitawachosha mpaka basi.
Mbona serikali yenu ndio main sponsor wa all terrorists activities, nitaomba sponsorship toka Jubilee government. Umesahau kwamba West gate terror attack was stage managed by GoK?, PEV 2007/8 was organized by UHURUTO?Nami nije kusoma PhD ya urogi hapo kwenye giza. Usibabaike kuna Terrorism cell hapo Tanga. Nenda tu hapo najua hautapata nauli ya kuja Nairobi
Acha hata Somalia. Mbwa afadhaliHuu ndio mfano unaohusu hii thread. Kwenu ni bora kuheshimu Somalia kuliko Tanzania. Kama sio roho mbaya sijuwi ni nini.
Hajuwi tu, sisi ndio tunacheke vile mnakibilia mode kuwasaidia. Fight your own battles, sio kulia lia hapa.Leo bendi nzima imetokwa na povu kweli..... I was so entertained the entire day today. The feeling was like that of KQ landing in Newyork
Hajuwi tu, sisi ndio tunacheke vile mnakibilia mode kuwasaidia. Fight your own battles, sio kulia lia hapa.
Na ndio maana kichwa cha thread kunasema "Kupunguza Propaganda" wakenya tumawajuwa haya hayaishi lakini tutayapunguza kwa nguvu kubwa.Tihahaa.... Leo lazima umetoa all your tears. Don't worry we are still your neighbours. But we shall treat you as such. Misfits
Na ndio maana kichwa cha thread kunasema "Kupunguza Propaganda" wakenya tumawajuwa haya hayaishi lakini tutayapunguza kwa nguvu kubwa.
siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu
Mwembwe zao zinawafanya mpaka wanakosa muda wa kuona mapungufu yao. Wazuri kuchokoza lakini tukirudisha mashamulizi, wanakimbilia kwa mod kuomba kinga, utadhani watoto wa chekechea.Sasa kama ninyi ni strong na ni watu wenye akili yanini kuwanenea watanzania maujinga? Nahisi mngekaa makajadili jinsi ya kupunguza ukabila na kujenga utaifa pamoja na kuongelea jinsi ya kupunguza njaaa kali huko kaskazini mkimaliza hayo mje sasa mtushauri sisi mnaotutita LDC. Lakini kama kawaida yenu mnataka kutuharibia sisi mkifikiri tumelala. Sisi tumeshajenga utaifa tukianza kupaa economically mtatusahau ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya ranked as 'failed state'Tanzanians mnatuhitaji zaidi ndio maana mnafungua nyuzi humu kwa wingi. Mnakula,kunywa na kulala Kenya.