WaTZ Tupo hapa kupunguza propaganda za kenya

Status
Not open for further replies.
Mimi ninataka kuja kusoma Kenya, ninyi ndio mnasifika katika Africa kwa kuzalisha best terrorists na Ku export nchi za jirani. Tafadhali nijulishe, chuo gani ni best huko Kenya katika somo la terrorism?

Nami nije kusoma PhD ya urogi hapo kwenye giza. Usibabaike kuna Terrorism cell hapo Tanga. Nenda tu hapo najua hautapata nauli ya kuja Nairobi
 
Tumeweka rekodi sawa, wakenya mlituchokoza, watanzania tukawapa majibu, sasa mmebaki kulia lia.

rekodi ipi mumeweka sawa, kwa kujaza Kenya news na mada zenu za korosho, wembe ni ule ule, uwanja tumeachiwa kuweka mada zetu, zitawachosha mpaka basi.
 
Leo bendi nzima imetokwa na povu kweli..... I was so entertained the entire day today. The feeling was like that of KQ landing in Newyork
 
Nani alileta mada ya korosho hapa kama sio mkenya alitetaka kutudharau. Mlianza hivi hivi huko nyuma lakini hivi sasa ni jino kwa jino,
 
Mko na heshima gani nyinyi ya kulindwa???
Huu ndio mfano unaohusu hii thread. Kwenu ni bora kuheshimu Somalia kuliko Tanzania. Kama sio roho mbaya sijuwi ni nini.
 
Nami nije kusoma PhD ya urogi hapo kwenye giza. Usibabaike kuna Terrorism cell hapo Tanga. Nenda tu hapo najua hautapata nauli ya kuja Nairobi
Mbona serikali yenu ndio main sponsor wa all terrorists activities, nitaomba sponsorship toka Jubilee government. Umesahau kwamba West gate terror attack was stage managed by GoK?, PEV 2007/8 was organized by UHURUTO?
 
Leo bendi nzima imetokwa na povu kweli..... I was so entertained the entire day today. The feeling was like that of KQ landing in Newyork
Hajuwi tu, sisi ndio tunacheke vile mnakibilia mode kuwasaidia. Fight your own battles, sio kulia lia hapa.
 
Tihahaa.... Leo lazima umetoa all your tears. Don't worry we are still your neighbours. But we shall treat you as such. Misfits
 
Na ndio maana kichwa cha thread kunasema "Kupunguza Propaganda" wakenya tumawajuwa haya hayaishi lakini tutayapunguza kwa nguvu kubwa.
 
Achana na manyang'au, game ishawashinda hao, uchumi wadorora, makampuni yao Bongo yanakufa, bidhaa zao hazina quality tena kama zetu, wanatapatapa..fyekelea mbali..
 
siku mukitoka ldc na muache kutumia asilimia moja ya akili zenu,,, tutawaheshimu

Sasa kama ninyi ni strong na ni watu wenye akili yanini kuwanenea watanzania maujinga? Nahisi mngekaa makajadili jinsi ya kupunguza ukabila na kujenga utaifa pamoja na kuongelea jinsi ya kupunguza njaaa kali huko kaskazini mkimaliza hayo mje sasa mtushauri sisi mnaotutita LDC. Lakini kama kawaida yenu mnataka kutuharibia sisi mkifikiri tumelala. Sisi tumeshajenga utaifa tukianza kupaa economically mtatusahau ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwembwe zao zinawafanya mpaka wanakosa muda wa kuona mapungufu yao. Wazuri kuchokoza lakini tukirudisha mashamulizi, wanakimbilia kwa mod kuomba kinga, utadhani watoto wa chekechea.
 
Tanzanians mnatuhitaji zaidi ndio maana mnafungua nyuzi humu kwa wingi. Mnakula,kunywa na kulala Kenya.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom