Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

Ameshiba huyo ndugu.Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment
 
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
Mimi mwenyewe Nina frem 6.nimejenga kwa shida, huku nikitegemea kupata faida. Bora fremu ibaki tupu kuliko kumpa mtu kwa hasara huku yeye akitengeneza pesa ndefuuu! Sikubali
 
Mmmmmmm Nani asiyetaka kufanya kazi? Wanafunzi vyuo vikuu maelfu hawana ajira serikalini Wala sekta binafsi unataka wafanye kazi gani? Biashara Bei za fremu ziko juu na TRA wanakalia kooni kwa viwango visivyo rafiki vya Kodi watu wafanye kazi ipi?
Kwa tarifa yako Kodi za frame zikiwa juu ndio TRA wanapenda maana watapata kodi kubwa zaidi Ila yote kwa yote TRA ni mashetani kwenye ukadiriaji wa kodi!
 
Fremu haziangalii demand Wala supply mtu anaweka Kodi tu anayoota kichwani.Mifremu kibao mijini wanalala panya imefungwa .no demand lakini mwenye mifremu unakuta kakomaa tu shenzi kabisa.Anaona heri walale panya kuliko kushusha Bei ya kupangisha inamsaidia Nini?
Unajua gharama zake za ujenzi? Maintenance costs za fremu akupe ili unyee tuu?
 
Gharama za fremu za biashara haziko rafiki kwa mfanyabishara na TRA pia Kodi sio rafiki kabisa Ni pepo ibilisi.

TRA na Wenye fremu na wapangisha majengo ya maduka ndio chanzo kikuu Cha kufungwa biashara nyingi na kuzuia biashara mpya na viwanda vipya kuanza.

Hawa wawili ndio mashetani wakubwa wa kuua biashara na kuzuia biashara mpya kuanza.

Serikali iangalie hayo maeneo mawili

Vp namba inasoma ngapi mkuu?
 
Wewe unata fremu ya shilingi ngapi muraa? Huku Dar es salaam si Tarime , bei hazifanani.

TRA ni kweli ndio wauaji, tufanyeje sasa?
 
Kwa Mara ya kwanza mkuu umekula like yangu, Leo umeamkaje? Nakushkuru kwamba Leo umewtetea wananchi pamoja na nchi yako kwa ujumla, huu ndio ukweli kodi ya pango huwa imekua juu mpaka wakati mwingine huwa najiuliza hivi kwa mhitimu anayemaliza chuo kikuu anayehitaji ujasiria Mali ataweza? Ila pia Hawa TRA wamegeuka kuwa wanyonyaji wakubwa badala ya wao kustimulate biashara wamegeuka kuwa wauaji wa biashara.
 
Mishahara ya wafanyakazi inategemea Kodi za wafanyabiashara ndio maana hampandishwi mishahara wala vyeo.Sekta binafsi isipofanya vizuri Kuna siku mishahara yenu itashushwa na mtapunguzwa kazini wewe kenua meno tu
Mh ni kweli lkn
 
Kinacho umiza zaidi TRA wanakadiria kodi kwenye mauzo na sio kwenye faida hii inaumiza sana
Mfano mimi nauza vocha za laki moja kwa siku nafaida ya vocha wote mnaijua hapo kama nimepata sana faida kwenye iyo laki faida ni sh 6000/= alafu naambiwa nilipe kodi sh 18000.kwa mwendo huu lazima biashara ife urudi kijiweni kupiga mizinga
 
Tra mazimwi

Hawa hawa TRA wanaosifiwa kila siku kukusanya ma Trilioni?

Wanazikusanya wapi na kwanani kama frem ziko tupu?!
 
Mkuuu jaribu kumiliki biashara hata ndoooogo utamwelewa mleta mada. Wamiliki wa Fremu za Biashara ni majanga hao TRA ni msiba hakuna comment

Biashara anayoijua na kuifanya ni kuimba mapambio na kumkatia viuno jiwe.
 
Kwa Mara ya kwanza mkuu umekula like yangu, Leo umeamkaje? Nakushkuru kwamba Leo umewtetea wananchi pamoja na nchi yako kwa ujumla, huu ndio ukweli kodi ya pango huwa imekua juu mpaka wakati mwingine huwa najiuliza hivi kwa mhitimu anayemaliza chuo kikuu anayehitaji ujasiria Mali ataweza? Ila pia Hawa TRA wamegeuka kuwa wanyonyaji wakubwa badala ya wao kustimulate biashara wamegeuka kuwa wauaji wa biashara.

Tanzania kufanya biashara ni dhambi TRA wao wanafikiria kukusanya tu bila kujua umeingiza nini biashara ikifungwa wanaanza kutafuta mchawi
 
Back
Top Bottom