Wauaji wakuu wa biashara Tanzania Ni TRA na wapangisha fremu au majengo ya biashara. Serikali iwashughulikie

TRA hakuna wataalamu wa biashara wamejaa wahasibu Wenye CPA na Wenye digrii za Taxation tu.Ndio tatizo lingine hawana business experts!!!
 
Siio tofauti .Roho ya umaskini ndio huleta umaskini.Umaskini hauji tu hewani Kuna Roho isababishayo inaitwa Roho ya umaskini.Baba wa umaskini Ni Roho ya umaskini
Msome mwenyewe aliyeumba hizo roho: Mathayo 5:3
Haihusiani na mali wala kumiliki fremu.
Ukiwa na roho hiyo hauwezi kuabudu mali wala binadamu mwenzako kama wengi tunavyofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…