rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Umerekebisha mkuu, ungesema tu ulipitiwa ikatosha.Mkuu itakuwa macho yako, nimesema Para ya tatu tukio limetokea Sheema, kaskazini mwa Uganda, anyways..
View attachment 2740141
Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba Mwafrika. Asia, south america kidogo wana ka ustaarabu ingawa nao ni bora liendeShabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.
Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U.
Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa Uganda.
Mtuhumiwa baada ya tukio alikimbia, yuko mafichoni akitaabika na dunia akiukumbuka kwa vitendo msemo wa waswahili, majuto ni mjukuu. Polisi wa Uganda wanamsaka.
Pamoja na timu za Man na Arsenal kuzaliwa miaka ya 1800's nchini Uingereza na kuwa na mashabiki wanaoishi waliozishabikia kwa zaidi ya miaka 100 hamna mauaji yaliyotokana na mechi ya juzi nchini humo.
Hapana mkuu mm ni asenaliHehe! shabiki wa Chelsea bila shaka
Wapuuzi sana hao vijana ona sasa wamegawana majengo ya serikali mmoja mochwari mwingine mahabusuShabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video.
Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U.
Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa Uganda.
Mtuhumiwa baada ya tukio alikimbia, yuko mafichoni akitaabika na dunia akiukumbuka kwa vitendo msemo wa waswahili, majuto ni mjukuu. Polisi wa Uganda wanamsaka.
Pamoja na timu za Man na Arsenal kuzaliwa miaka ya 1800's nchini Uingereza na kuwa na mashabiki wanaoishi waliozishabikia kwa zaidi ya miaka 100 hamna mauaji yaliyotokana na mechi ya juzi nchini humo.
Sheema, kaskazini mwa nchi ya Uganda. Soma tena utaona hivyo.Hii habari inachekesha, hivi umeshindwa hata kusema tukio limetokea wapi.
Inaonekana ni habari ya kuzusha.