Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

Tumbo tumbo tumbo..wanawake kwa kweli yaani tusogeze tumbo mdio tuone papuchi...ebu acheni ujinga bwana. Ata kama tunawalisha ndio mkule mpaka tumbo laziba punene
Mtu analalamikia tumbo na bado anakuletea keki, utafanyaje sasa? Labda anaenjoy kusogeza tumbo ila anavunga tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…