Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

Apunguze maneno na gubu... Mwanamke anaongea kama charehaniii, hamezi mate ajabu ni kuwa hapaliwiii!

Ukimwambia basi mama, yameisha samahani sana. Ndo kwanzaaaaaaaaaaaa, ananzaaaa upyaaaaa!

Kuna wale wanagubu, anaweza kununa mpaka ukahisi, labda umekula hela ya sanda ya maiti 😂
 
Nimecheka sana, mdogo akee huwa unawaokoteaga wapi hao wanawake wako. Wewe kila siku ni matukio tu 😂😂🤣
 
Back
Top Bottom