Waume zetu ndiyo tumefikia huku jamani?

Apunguze maneno na gubu... Mwanamke anaongea kama charehaniii, hamezi mate ajabu ni kuwa hapaliwiii!

Ukimwambia basi mama, yameisha samahani sana. Ndo kwanzaaaaaaaaaaaa, ananzaaaa upyaaaaa!

Kuna wale wanagubu, anaweza kununa mpaka ukahisi, labda umekula hela ya sanda ya maiti πŸ˜‚
 
Nimecheka sana, mdogo akee huwa unawaokoteaga wapi hao wanawake wako. Wewe kila siku ni matukio tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…