Ubwabwa talking 👄WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa amani katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe hiyo.
Wito huo ulitolewa jana Oktoba 4,2025 na Shehe wa Msikiti wa Mtambani, Wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam,Shabani Pembe wakati wa Kongamano la Kuombea Uchaguzi, Amani na Dua ya Nchi lililofanyika jijini Dar es Salaam.
“Hakuna muislamu yeyote atakayeingia barabarani kuandamana. Atakayeingia barabarani Oktoba 29 atakutana na mambo yasiyoridhisha na kuipa familia yake shida. Wanaohamasisha maandamano hawapo nchini, hivyo ni heri mkapige kura badala ya kuandamana,” amesema Shehe Pembe.
Chanzo: Habari Leo
Wakatoliki wakiambiwa waandamane inakuwa nongwa waislam wanatumika kwa sasa kumlinda muislam mwenzao anae walinda waislam wenzao wwzi wa mali za ummaWAUMINI wa Dini ya Kiislamu wameshauriwa kutoshiriki maandamano yanayohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii yaliyopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu, na badala yake wajitokeze kupiga kura kwa amani katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe hiyo.
Wito huo ulitolewa jana Oktoba 4,2025 na Shehe wa Msikiti wa Mtambani, Wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam,Shabani Pembe wakati wa Kongamano la Kuombea Uchaguzi, Amani na Dua ya Nchi lililofanyika jijini Dar es Salaam.
“Hakuna muislamu yeyote atakayeingia barabarani kuandamana. Atakayeingia barabarani Oktoba 29 atakutana na mambo yasiyoridhisha na kuipa familia yake shida. Wanaohamasisha maandamano hawapo nchini, hivyo ni heri mkapige kura badala ya kuandamana,” amesema Shehe Pembe.
Chanzo: Habari Leo
Uanaharakati kwenye nchi hii umekata kinafiki sana. RC imekuwa na Nongwa sana pale Rais anapokuwa IslamUsitegemee masheikh hata siku moja .ufukara wao wa mawazo kwenye jamii wanakugeuka kwa sinia la ubwabwa