Kama Marais wenyewe ni Samia na kikwete,Bora hao RC wawe na nongwa.Uanaharakati kwenye nchi hii umekata kinafiki sana. RC imekuwa na Nongwa sana pale Rais anapokuwa Islam
Hawa NAO VIPI?Hawa wapumbavu ndo wanatuchelewesha kwenye mapambazuko
Yeyote anayepinga mapinduzi ni mpumbavuHawa NAO VIPI?
Kwani magufuli hakukutana na uungwaji mkono hafifu toka kwa RC pale mambo yalipokua sio ya haki?Uanaharakati kwenye nchi hii umekata kinafiki sana. RC imekuwa na Nongwa sana pale Rais anapokuwa Islam
CHAMA CHA MAPINDUZI.kinataka kupinduliwa😄😄😄Yeyote anayepinga mapinduzi ni mpumbavu
Hawa NAO wameweka mbele nini.Tatizo wenzetu wemeweka mbele ILIMU kuliko ELIMU