GE2025 Waumini wa dini ya kiislamu washauriwa kutoandamana Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Badala ya kuwashauri waislamu mambo ya msingi kama kufuga nguruwe badala yake anawashauri kufanya mambo ya haramu kama kutick October
 
Uanaharakati kwenye nchi hii umekata kinafiki sana. RC imekuwa na Nongwa sana pale Rais anapokuwa Islam
Kwani magufuli hakukutana na uungwaji mkono hafifu toka kwa RC pale mambo yalipokua sio ya haki?
Msilete udini nyie jamaa kwenye ukweli labda kama mnanufaika nao nako pia msitumie Dini kuficha utawala mbovu sababu ya kua na imani sawa na mtawala muovu.
 
Tatizo wenzetu wemeweka mbele ILIMU kuliko ELIMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…